stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,150
Nimewahi kaa nayo Mara nyingi Sana sijaona lolote
Na mtt wa kike ulimkuta bikra ama[emoji1321]♂️
Nimewahi kaa nayo Mara nyingi Sana sijaona lolote
Ni kweli kabisa mkuu lakini tukipiga kura huku ndani wanaosapot mapenzi ya kweli yapo utaona wachache Sanamimi nijuavyo maapenzi ya kweli yapo na yataendelea kuwepo ila cha muhimu umpate mnaependana kwa dhati na sio kukurupuka katika mahusiano inachukua muda
Hilo sijataka kuliongelea kabisa humu ndani itabaki Kua her secret hata kama nilimkuta vile Ile siku sijaamini hadi Leo! Ninachoangalia ni true loveNa mtt wa kike ulimkuta bikra ama[emoji1321][emoji3603]
Sawa mkuuNgoja uingie kwenye 18 baada ya hapo usisahau kule Mrejesho.
Hilo sijataka kuliongelea kabisa humu ndani itabaki Kua her secret hata kama nilimkuta vile Ile siku sijaamini hadi Leo! Ninachoangalia ni true love
Haha Sawa mkuuHakuna wanawake siku hizi kuna manungaembe hakuna wanawake wenye mapenzi yakweli siku hizi mzee anza kuishi naye baada yamiaka 10 uje hapa tena utupatie ushuhuda.
Sawa mkuuMkuu True Love itakamilikaje kama ulishakuta wenzio wamepita[emoji3]
Au bado hujaelewa maana halisi ya TRUE LOVE[emoji1321][emoji3603]
NdiondioUzuri wa hawa viumbe ni kwamba wanao ule uwezo wa asili wa kwamba hata awe na mahusiano na watu wanne anaweza kumfanya kila mtu kati ya hao jamaa wanne aamini yuko peke yake.
Aaah na olewako umuchezee tu usimuoe atakuroga kishipaPoleni na majukumu wakuu! niende 1kwa1 kwenye mada husika toka nikiwa mtoto nimekua mtu wa kuwaogopa Sana watoto wa kike hadi mwaka huu nimemaliza degree yangu sina ujasiri na watoto wa kike nikitaka nifloo nae na maongezi ni hadi anisogelee hapo nitaongea japo kwa less confidence.
Lakini hata hivyo, hali hii imenisaidia kumpata girlfriend ambaye naamini ana mapenzi ya kweli na mimi kwanini?
SABABU: Toka nimekua nae kama rafiki yangu wa kike (tumesoma darasa 1 chuo ki1),
nimeshuhudia mengi sana. 1 kati ya hayo ni hili, nimejaribu kua na mahusiano na mabinti kadhaa wakati yeye yupo (japo sio kwa kumaananisha) aise amewapindua wote yani kila binti alikua anamface 1kwa1 ili amwambie amwache mme wangu miaka mi3 yote hadi tumemaliza chuo na ni , zaidi ya mabinti 4. angekua hana mapenzi na mimi angenitua huu ndo ukweli.
Jingine licha ya kumfanyia yote hayo wiki ilopita amekataa barua ya posa kwao kwa ajili yangu image nina kabinti kengine then yeye anajua halafu kwao Kuna jamaa kajitokeza amuoe lakini amechomoa hni kali kwa ninavyowajua hawa viumbe sidhani kama angekubali kuendelea tena na mimi.
Nawakumbusha tena mapenzi ya kweli yapo haijalishi wote mmefanana level za elimu, uchumi au amekuzidi au umemzidi. wanawake wanapenda mbaya mbovu.
Nawasilisha karibuni kwa upembuzi wa kina zaidi. Asanteni
Ulikuwa unaenda wapi myNaona nimepotea njia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85]"Kama kuna m2 anabisha ajifanye anajikuna"
Upo sahihi kabsa
dah sio mzima huyoPoleni na majukumu wakuu! niende 1kwa1 kwenye mada husika toka nikiwa mtoto nimekua mtu wa kuwaogopa Sana watoto wa kike hadi mwaka huu nimemaliza degree yangu sina ujasiri na watoto wa kike nikitaka nifloo nae na maongezi ni hadi anisogelee hapo nitaongea japo kwa less confidence.
Lakini hata hivyo, hali hii imenisaidia kumpata girlfriend ambaye naamini ana mapenzi ya kweli na mimi kwanini?
SABABU: Toka nimekua nae kama rafiki yangu wa kike (tumesoma darasa 1 chuo ki1),
nimeshuhudia mengi sana. 1 kati ya hayo ni hili, nimejaribu kua na mahusiano na mabinti kadhaa wakati yeye yupo (japo sio kwa kumaananisha) aise amewapindua wote yani kila binti alikua anamface 1kwa1 ili amwambie amwache mme wangu miaka mi3 yote hadi tumemaliza chuo na ni , zaidi ya mabinti 4. angekua hana mapenzi na mimi angenitua huu ndo ukweli.
Jingine licha ya kumfanyia yote hayo wiki ilopita amekataa barua ya posa kwao kwa ajili yangu image nina kabinti kengine then yeye anajua halafu kwao Kuna jamaa kajitokeza amuoe lakini amechomoa hni kali kwa ninavyowajua hawa viumbe sidhani kama angekubali kuendelea tena na mimi.
Nawakumbusha tena mapenzi ya kweli yapo haijalishi wote mmefanana level za elimu, uchumi au amekuzidi au umemzidi. wanawake wanapenda mbaya mbovu.
Nawasilisha karibuni kwa upembuzi wa kina zaidi. Asanteni
mkuu hili tatizo ni la wengi sababu wapo wrong direction na hasa elimu ya mahusiano hawana kabisa umekulia familia kutwa kununiana waliokuzunguka hivyo hivyo je utajua kuna upendo wa dhatiNi kweli kabisa mkuu lakini tukipiga kura huku ndani wanaosapot mapenzi ya kweli yapo utaona wachache Sana
Usiwe na wasi wasi mkuu tumejifunza your life experiencemapenzi ya kweli yapo tena 90% na naweza sema moja ya kipimo cha mapenzi ya kweli ni mioyo kusemezana katika shida,furaha,taabu na magonjwa
nasema hivi sababu nilishakuwa na mpenzi tuliyependana sana na mioyo yetu ilikuwa ikisemezana sana yani unakuta mmoja wetu kapata shida au ugonjwa si lazima akupe taarifa ya kinywa au ujumbe wa simu ila unakuta tu moyo unakupa taarifa
nakumbuka kuna kipindi nilikuwa natoka safari lakini sikutaka mwambia mpenzi wangu kuwa narudi toka safari nilitaka nimsuprise kwa maana alikuwa akinisumbua lini ninarudi?
ile kurudi nikafika home na yeye si kwamba tulikuwa tunaishi pamoja hapana....basi usiku kanitumia text ananiambia wewe umerudi nikamwambia hapana akasema umerudi bwana mimi najua ikabidi nimuulize wewe umejuaje maana ikabidi nikubali...akaniambia yani siku ya leo nimekuta tu moyo unaamani na furaha sana...nikasema kweli mioyo inaongea tena mambo ambayo macho hayawezi ona
sasa yeye alipata safari na kuniacha mimi nyuma.....aise nikashangaa kuona moyo wangu unaniuma baadhi ya siku alafu kama unanipa taarifa kuwa mpenzi wangu ananisaliti na mara zote nauamini moyo kwa 98% kuliko kitu au mtu yeyote....cha ajabu kuna siku yule mwanamke akaanza kuropoka yote aliyoyafanya mabaya na kunisaliti..aise niliumia sana but sikuweza kumuacha na nikajisemea kuwa my heart is alwayas right it never cheat me...lakini kwa baadae ikanilazimu nimuache maana alikuwa anajutia usaliti wake alioufanya na hakuweza amini msamaha wangu...kwa kweli sikuwahi msaliti kipindi chote cha mahusiano yetu coz i saw no girl like her
ukitaka kujua shuruba ya mapenzi ni kuanzia miaka 3,4 na 5 ni wachache wavukao miaka hii na bado wanapendana wengi unakuta wamezoeana tu
sorry keshokutwa mkuu kwa kuingilia uzi wako
Hapana mkuu huyu binti ni mcha Mungu Sana Hana mambo ya kishirikina.Aaah na olewako umuchezee tu usimuoe atakuroga kishipa