Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Ujinga wote unaomfanyia bado yupo tu
Atakua. Na tatizo na wewe ndie unaejua utatuzi wake
Atakua. Na tatizo na wewe ndie unaejua utatuzi wake
Kwanini?
Kwanini?
Refer title mkuuUjinga wote unaomfanyia bado yupo tu
Atakua. Na tatizo na wewe ndie unaejua utatuzi wake
Refer title mkuu
Sawa mkuuNdg msomi na muhitimu wa chuo kikuu[emoji2957] Hiyo stylistics yako haiapply Kila mahali. Unafikiri Kila mtu angetumia language stylistic codes anazozijua angetosha hapa?
Mapenzi ya kweli yapo ndani mwakeNimerefer na habari yako nimeisoma
Aisee..basi hongera kwake na kwako kwa kuokota papai chini ya muarobainiMapenzi ya kweli yapo ndani mwake
Ni kweli mkuu, Na mwezi wa 12 anakuja kwetu kabisa Kuja kunitembelea kabisa.Aisee..basi hongera kwake na kwako kwa kuokota papai chini ya muarobaini
Sidhani mkuu ningehadithia hapo mengi niliyoyaona kwake uzi ungekua mrefu zaidi nimeona bora nichote tu baadhi ya episodeMdogo wangu...!! Usijiaminishe na wala Usijihakikishie, ya chuoni ni yakichuoni tu, huku kitaa ni dunia ingine kabisa...!! Si ajabu baada ya muda flani utatuandikia tena ukiomba ushauri.
Kuna wahanga wengi aisee..!
Sio wewe ndie waenda peleka posa?Ni kweli mkuu, Na mwezi wa 12 anakuja kwetu kabisa Kuja kunitembelea kabisa.
Sio rahisi mkuuAliepeleka posa ajaonja kweli...nawazaa tuu kwa sauti
Mimi bado Sana kwenda kwao najichanga KwanzaSio wewe ndie waenda peleka posa?
Sawa sawaMimi bado Sana kwenda kwao najichanga Kwanza
Wakati nipo nae chuoni nimemdadisi Sana Mara kadhaa nimemfanyia ambush za gafla gafla sijaona dosari yeyote kwakeUzuri wa hawa viumbe ni kwamba wanao ule uwezo wa asili wa kwamba hata awe na mahusiano na watu wanne anaweza kumfanya kila mtu kati ya hao jamaa wanne aamini yuko peke yake.
Acha upumbavu humwamini aliekuleta duniani?Dukua simu yake upate yaliyomo.Don't trust a women even your mother
Asikusikie mtu alietendwa hivi karibuni utakosana nae mkuumapenzi ya kweli yapo kabisa
Mkuu Siwezi msaliti kabisa,, niliapa sitokuja oa mwanamke niliesoma nae Maana maisha ya Chuoni sio aisee!.. Lakini kwa niliyoyaona kwa huyu binti Mungu ashukuriwe.. Nitampenda mileleif you don't marry her the curse will fall on you....it seems she has a true love for you but you don't have a true love for her.....yangu ni hayo tu mpende usiwe unamsaliti saliti kwa kudate na wanawake wengine
muwe na maisha marefu
mimi nijuavyo maapenzi ya kweli yapo na yataendelea kuwepo ila cha muhimu umpate mnaependana kwa dhati na sio kukurupuka katika mahusiano inachukua mudaAsikusikie mtu alietendwa hivi karibuni utakosana nae mkuu