Aisee!! Hivi hii mbegu nitaipata wapi

Aisee!! Hivi hii mbegu nitaipata wapi

hii ni kwa upande wa binadamu. usitumie GMO maana utakua mtumwa, madhara ya GMO ni kwamba ukipata mazao hauwezi kuyatumia kama mbegu kupata tena mazao mengine, sasa yanini upate shida, wahi sasa ujipatie yakwako asilia.
😛😛😛😛😛😛
 
SI ndo utaipata kwahuyohuyo
Hana hii avatar yako, hahahahaahahah
1542867544824.png
1542867544824.png
 
Mimi ndiye baba mzazi wa huyo dogo na anawadogo zake watatu wote ni sampuli hiyo na ni kutoka mama tofauti. Nitafute.
 
Back
Top Bottom