- Thread starter
- #21
hahahahah, jamani, hahahahaahahahahahaWenye hizi mbegu tumebaki wachache sana, wahi haraka ndo tunaishilia ivyo.
hahahahah, jamani, hahahahaahahahahahaWenye hizi mbegu tumebaki wachache sana, wahi haraka ndo tunaishilia ivyo.
hahahahaahhahhahhah, ngoja nikusemeshe PM hahahaNitakuletea ila hiyo imezidi kidogo
Sawa nakusubirihahahahaahhahhahhah, ngoja nikusemeshe PM hahaha
Kumbe Wa Sudan pia ni warefu, mie nili kariri tu weusi wao.Hilo ni rahisi tu, nenda Sudani tafuta hao watu halafu mwambie akupe shahawa zake kwenye chupa halafu nenda lab wanazifanyia kazi na kuzipandikiza kwako, baada ya miezi 9 una mtoto wa Kinubi!
Na ajiandae kwa sura atakayo pata. South Sudan wamejaa tele.Hilo ni rahisi tu, nenda Sudani tafuta hao watu halafu mwambie akupe shahawa zake kwenye chupa halafu nenda lab wanazifanyia kazi na kuzipandikiza kwako, baada ya miezi 9 una mtoto wa Kinubi!
zamani nilikuonaga kama mtu mzima flani mmama wa dini lakini nashangaa sana comments zako kusema kweli.😂😂
Ndio hivyo. Naitaka hiyo mbegu.zamani nilikuonaga kama mtu mzima flani mmama wa dini lakini nashangaa sana comments zako kusema kweli.😂😂
No hard feelings
Weusi ndio asili yetu ya WaafrikaNa ajiandae kwa sura atakayo pata. South Sudan wamejaa tele.
hureeeeeeeeeeeeeee, afadhalimm ninayo hiyo 😛😛
hahahaahahaahhahahaahahha.Khaaaa....!!!
Njoo nikupeleke kwetu masaini ipo hiyo mbeguNdio hivyo. Naitaka hiyo mbegu.
karibu ujipatie mbegu bora kabisa ya asili, sio ya GMO.hureeeeeeeeeeeeeee, afadhali
mmmh! Labda maana hata picha za marehemu Sokoine ukiziona ambazo zilikuwa full anaonekana alikuwa mrefu japo sio kama huyo hapo pichani.Njoo nikupeleke kwetu masaini ipo hiyo mbegu
Unaiponda hiyo GMO na wakati wabunge walipiga makofi kuishangilia. hahahahahahkaribu ujipatie mbegu bora kabisa ya asili, sio ya GMO.
Bado nakusubiri PM tumalizane makubaliano yetu...hahahaahahaahhahahaahahha.
Nitakuja, ngoja ngoja kwanza namalizia pilau la jana la sikukuu ya Maulid S.W.ABado nakusubiri PM tumalizane makubaliano yetu...
hii ni kwa upande wa binadamu. usitumie GMO maana utakua mtumwa, madhara ya GMO ni kwamba ukipata mazao hauwezi kuyatumia kama mbegu kupata tena mazao mengine, sasa yanini upate shida, wahi sasa ujipatie yakwako asilia.Unaiponda hiyo GMO na wakati wabunge walipiga makofi kuishangilia. hahahahahah