balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,667
- 15,395
Obayo?Huyo mtoto aloshika tama wakati hadija anakula ukodac ananipa mawazo mengi! Kuna kitu anaelewa kuhusu bibie au kuhusu Kadara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Obayo?Huyo mtoto aloshika tama wakati hadija anakula ukodac ananipa mawazo mengi! Kuna kitu anaelewa kuhusu bibie au kuhusu Kadara.
panic at your own risk [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kitambo unaijua wewe? Kitambo hata bibiyako hajazaliwa unless kama wewe ni muhenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Panic at your own risk ndo nini sasa? Au umekuja town ukakuta wameandika Park at your own risk nawewe ukaona ulete hapa panic at your own risk? Hilo neno halina maana! [emoji16]panic at your own risk [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio vijana wa mwendo kasi, mchumba anatafutwa FB!
Duuuuh. Huyu mama ni Jiran yangu anaitwa mama Calvin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilichogundua kupitia huu uzi ni kuwa Wabongo tunakipenda kiingereza ila kiingereza hakionyeshi ushirikiano.
ndio mimi wakuja aisee wewe mwenyeji baki hapo hapoPanic at your own risk ndo nini sasa? Au umekuja town ukakuta wameandika Park at your own risk nawewe ukaona ulete hapa panic at your own risk? Hilo neno halina maana! [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ni kweliNilichogundua kupitia huu uzi ni kuwa Wabongo tunakipenda kiingereza ila kiingereza hakionyeshi ushirikiano.
Duuuuh. Huyu mama ni Jiran yangu anaitwa mama Calvin
Colin's na
Careen
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbayo
Hahahahahahaaaasa! Hii Kali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe uko ndani ya ndege au treni la kigoma?![]()