Mkuu unazifahamu nguzo za uislamu au umeandika tu????? Toka lini kuoa mke wa pili ikawa nguzo ya uislamuWaislam wenyewe kwa wenyewe si wanaweza kuoa mke wa pili?
Huyo dada hajui nguzo za uislamu?
Au hajasoma madrasa?
Ha ha ha haaaa.. Asha Mussa umezingua wewe, siku nyingine uwe unauliza kwanza kabla ya kuposti.
Huyu Nyesu ndio namsikia leo..