Aisee! Facebook kuna vituko

Aisee! Facebook kuna vituko

27573596_403890576737491_554481270051045376_n.jpg
 
Mkuu mbona huyo demu unaesema tapeli kama nilishakutana nae kipindi naishi mkoa wa Kilimanjaro hadi anapoishi nilishakatiza ila sizani kama ni tapeli kweli maana ni mtu wa dini kwao
Duniani wawiliwawili kiongozi[emoji3]
 
Anamaanisha,anapambana afikie mafanikio ya juu sana kwasababu anawapenda walioko nyuma yake Mungu awe naye(amsaidie)
I fight to reach higher point of success. Because l love those I left behind so help me God
 
Back
Top Bottom