jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,127
- 42,740
huyu mchizi katishaAsee hii photoshop ya wapi tena? [emoji23] [emoji23]
hahahaha haha hawa wadada wanachokitafuta watakipata
Labda kitengo cha usafi[emoji3]Kofia inasema ndio haha
Ha ha Haaa Numbisa huwa unanipa rahaa asee!
Kuna kitu kama nyundo huwa kinafungwa hapo pembeni kukia kwa hilo tangazo.... naona hapo kimeondokewa.... nadhani ndio nyundo anayomaanishaView attachment 626977hii sio facebook ni kwenye magari ya kihindi eicher..hasa daladala sasa apo hammer unatoa wap kwenye emergency
Hahahah this post made my day....
Chezea Juma wewe
Mbona upande wa pili hakuna tundu lenye damu,