Mi zile cross zilikuwa kama 5 au 6..Aisee unajua Mkuu..kila aliyemuona..akasema zile Cross za Messi zinaleta Goli..lijamaa halina huruma
Kama wewe umelitambua hili na kulisema hadharani, basi akitokea wa kwenda kinyuma na hili basi ni haki yangu kumuadhibu.Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo niupe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu.
Viva Manchester United viva lesandro martinez ๐
Huyu jomba aliwasoma walinzi wa England kwamba wamemdhibiti asipige golini kwa left foot akacheza na akili zao akaanza kutia crosses kwa mguu wake dhaifu.Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo niupe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu.
Viva Manchester United viva lesandro martinez ๐
Jirani yangu kibanda umiza..alisema jamaa mchawi๐๐๐NnMi zile cross zilikuwa kama 5 au 6..
Pin point cross.. nikajiuliza hii accuracy ni kipaji au kasomea ?
Maana alikuwa anatuma cross ..kwa kipimo Cha urefu wa mchezaji.. haangaiki kufuata mpira...Bali mpira unakuja kwenye kichwa mahali ulipo
Mkuu ile pasi ya goli imeenda katikati..kwann๐๐๐Huyu jomba aliwasoma walinzi wa England kwamba wamemdhibiti asipige golini kwa left foot akacheza na akili zao akaanza kutia crosses kwa mguu wake dhaifu.
Huyu mtu ni mtaalamu sana wa kuusoma mchezo!
Goli lipi?Mkuu ile pasi ya goli imeenda katikati..kwann๐๐๐
La piliGoli lipi?