Aise Messi ndio mbuzi

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,834
Reaction score
165,630
Nakataa kuwa mshabiki oya oya , napenda mpira , acha kwa pumzi hii niliyo bakiwa nayo niupe maua yake , natambua mchango wa Ronaldo , ila Messi ni next level , acha niupe mpira heshima yake tu.

Viva Manchester United viva lesandro martinez 🙏
 
Messi anajua halafu anajua tena kupingana na huo uhalisia ni kujihadaa. Upo sahihi.
 
Ningekua hua nabeti nashukuru mungu kwakipaji chakucheza mpira na kujua timu inayoshinda punde tu baada ya dakika 7 mpira kufyatuliwa nimeacha sehemu bar laki tatu ingeshinda england hiyopesa ya mwanye bar kesho naikuta 500k keshi


aisee ,hii Ngoma inaenda Argentina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…