AIRTEL YATOSHA ni nomaaaa.....!!!!

huku mitaa ya chuon voda wameleta university promotion kwa sh.500 unapata mg 500,smss 500 na dakika 50
 
huku mitaa ya chuon voda wameleta university promotion kwa sh.500 unapata mg 500,smss 500 na dakika 50

vifurushi vyoote vya voda kimoja kimoja au kwa ujumla ukilinganisha na vya airtel kwa gharama,msgs na bundles , airtel wapo vizuri. bofya *149*01# (voda) then *149*99# (airtel) , halafu fanya the comparing.
 
Ni hivi mkuu ukijiunga saa 5 kamili unapiga hadi saa 6 kamili kwa tsh 150 tu voda kwenda voda maanayake unanunua

dakika 60 kwa shilingi 150 lakini zinaanza kuhesabika pale ulipojiunga!...

Nadhani umenisoma?..
Saa tano kamili za usiku?
 
vifurushi vyoote vya voda kimoja kimoja au kwa ujumla ukilinganisha na vya airtel kwa gharama,msgs na bundles , airtel wapo vizuri. bofya *149*01# (voda) then *149*99# (airtel) , halafu fanya the comparing.

Hao wote wamepigwa bao na Zantel
 
Hao wote wamepigwa bao na Zantel

ninazo almost modem zote na laini zote, hicho unachosema si kweli. mfano wa kifurushi cha 5gb cha mwezi cha zantel ni sh 20,000/= kwa modem za cdma, na kifurushi hicho hicho zantel ni sh 40,000/= kwa modem za laini/gsm/3g.

airtel unapata 3gb kwa 5,999/= kwa wiki, ambazo ni almost 12gb kwa mwezi kwa almost the same money (20,000/) ambayo unapata only 5gb kwa zantel!
 
Bundle si wizi tu kwani! Iko wazi gharama za simu zimepungua sana, makampuni ya simu yanatakiwa yapunguze gharama na si kuongeza bundles, Wanachofanya ni kuwalazimisha sisi ambao tuna upeo wa kujiunga na hizo bundles tuchague kampuni zao, then wanawaibia wale wa kijijini ambao simu zao ni special kwa mawasiliano na sisi! Wapunguze ghrama za simu zaidi,
 


Tena hawaishii hapo wanakupa na dakika 1100 na unlimited sms kipindi chote hicho.
 
Rais mstaafu Mkapa alisema 'ujinga wa kufikiri', TCRA imetoa amri kwa kampuni zote za mawasiliano kupunguza bei kuanzia March mwaka huu, sasa wewe unatueleza nini hapa? Wenye akili hili ni tangazo na unatakiwa KULIPWA sasa wewe unawatangazia bure tu hawa jamaa, waziri akiingia mkataba na kampuni ya nje kwa kusamehewa KODI utapiga KELELE? Ama kweli KIBAYA chajitembeza, KIZURI chajiuza!!!!!!!!!!!!!
 
Hapana mkuu huo ulikuwa mfano labda umejiunga saa 5 asubuhi utaongea hadi saa 6 mchana kwa tsh 150,huduma

yenyewe ipo kuanzia asubuhi hadi saa 12 jioni unaweza kujiunga hata kila saa.
Saa tano kamili za usiku?
 
mkuu hujaona dakika za kuongea kwenye hizo bundles na sms kibao, kwahiyo unaweza zitumia pia kwa kupiga simu na kutuma meseji, sio kwenye internet tu. hivyo hata mtu ambaye simu yake haina uwezo wa internet au hana interest na internet bado atafaidi tu, au ulitaka baundles zitenganishwe???


 
Saa tano kamili za ukinaishasiku?

mkuu aspirini huyo anashindwa kukuelewesha au umemuelewa ila unamshangaa. ni kwamba hicho kifurushi muda wake ni saa moja tu, ukijiunga saa tatu ikifika saa nne kinakwisha, ukijiunga saa tano ukifika saa sita kinaisha, na kinaisha bila kujalisha umepiga simu au hujapiga simu.
 

Unajiungaje nijiunge sasa hivi?
 

For promo Only

cc: Kongosho
 
Last edited by a moderator:
kaka hao wahindi wamekupa nini cha ajabu hizi ofa zipo pia katika mitandao mingine big problem ya Airtel is Expensive na products zenu hazina mashiko kwa maisha ya watanzania wa kawaida ambao ndiyo wengi i think Tigo na VOda wanajitahidi
 
Tatizo MB zao zinawahi kuisha. Mimi nachukua kwa ajili ya mawasiliano, lakini upande wa internet natumia kile cha siku cha 500.
 
Duh! Hii kali. Kwahiyo wanatulazimisha tupige simu ndani ya lisaa limoja? Na kikiisha sijui kama wanakuruhusu ununue kingine?
 
Siwezi kutema Big G ( tigo ) kwa karanga za kuonjeshwa ( mitandao mingine ) .
 
naomba kujua...hii offer ya airtell ya siku kwa 499 inadumu kwa masaa 24 ama inaisha saa 6 usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…