mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
- Thread starter
-
- #61
mi ni muumini wa tigo toka enzi za buzz. hakuna wa kunitoa huku.
mi ni muumini wa tigo toka enzi za buzz. hakuna wa kunitoa huku.
Sasa na mimi ngoja nirudi nilienda kwa kina part of etisalat shenzy type 99% ya staffs wake ni wazenjy na waislam sileti udini ni ukweli mtupu.
Ndio hawa hawa waliwahi niudhi nikafanya namna hii hii line mpaka leo sitaki wasikia kabisa kwanza mambo ya mashimu siku hizi nimebakiwa na TTCL land line moja tu tena ya ofisi kama mtu un a shida na mi mi iwe ya kikazi tu piga saa za ofisi tu tena uongee mambo ya maana sio salamu kama huwezi chukua time niko bise . Mbona masiaha yanaenda tu vizuri napunguza na mastress
View attachment 88770
Niliwai washauri voda waanzishe vifurushi nao vya wiki maana kuna watu wanachoka vidole kila leo kujiunga
Sasa wenzenu wameidaka iyo idea wanapeta
Big up Airtel
mkuu hizo ni dalili za kuanza kuzeeka, Binti.com embu ongeza hiyo kwenye zile dalili za utajuaje kama umeanza kuzeeka!
Tigo unaipenda sana ehee?? unapenda kupiga au kupigwa?
Ndio mambo ya ujana kukesha kwenye mitandao na kuongea na simu usiku kucha nakuachia wewe kijana kweli nimeanza kuzeeka. lakini naona ni uzee mzuri tu kwa upande wangu. Hongeza zako kijana
sihitaji kutembea kila wakati kujisachi eti nimewaka wapi simu nikitoka ofisini karani wangu atakujibu na utamwachia ujumbe wangu na nitafikishiwa tu na kazi itapigwa kama salamu njoo nyumbanihuu ndio uzee mzuri eeh?
hahaha, haya mkuu angalia usije kuwaomba ttcl wakuunganishie landline ya mfukoni!:smile-big:
Voda ofa zao zina masharti utafikili wamelazimishwa kutoa.Siwapendi na sitawapenda voda.
sihitaji kutembea kila wakati kujisachi eti nimewaka wapi simu nikitoka ofisini karani wangu atakujibu na utamwachia ujumbe wangu na nitafikishiwa tu na kazi itapigwa kama salamu njoo nyumbani
Ahsante.Nasubiri ili nianze kuitumia hiyo airtel yatoshamtoto wa zayuni, hii ngoja nitaiweka kule jukwaa la tech and sciencse halfu nita-kutag. Hapa tuendelee jadili hizi offers za hawa mitandao. airtel yatoshaaa....!!!
Ahsante.Nasubiri ili nianze kuitumia hiyo airtel yatosha
mkuu piga *147*500# unapata mb 60,dk 20 sms 150 kwenda mitandao yote...kwa hapa voda nimewakubali.!!
Airtel Tosha ni mwisho Mkuu, buku mbili unakomba dk 70 wiki nzima. Sijatumia line za voda na tigo kumpigia mtu kwa wiki nzima sasa.Tigo huduma ya kabang si mchezo. 9,000 kwa wiki unakua na dkk 150 tigi to tigo na 150 other networks. Imenipunguzia gharama
waseme mara ngapi mkuu kwani wewe huwa hufuatilii matangazo yao mbalimbali kwenye media hasa hili jipya la YATOSHA?Na sisi wa Airtel je? Mbona hawatuelezi offa zap?
Wangeweka na utaratibu wa airtime kwa rafiki ingesaidia sana wanaotumia Ipad maana mtindo wa kutoa line ili kuweka kwenye simu kununua bundle unaharibu ladhaKwenye red Hapo sawa nimeshawishika kutafuta laini yangu ya airtel, Hakuna mtandao mwimgine unaokupatia 3gb kwa kiasi hicho cha fedha.
Mkuu hebu fafanua kidogo kwenye hiyo bold kama hutajali. Sijakuelewakweli mkuu,voda ndy fungakazi walikuwa wanaua mitandao mingine yote bongo,naona wote wameona yatosha airtel na tigo wameacha kubana imebidi wafunguke lkn bdo voda naona ni taifa kubwa wamejipanga zaidi.
Halafu kuna hii nilikuwa siijui *147*150# unapata saa moja la kupiga voda kwa voda kwa tsh 150 tangu ulipojiunga.
Vodacom kazi ni kwako.
Mkuu hebu fafanua kidogo kwenye hiyo bold kama hutajali. Sijakuelewa