Airtel will be another tragic failure of President Magufuli

Airtel will be another tragic failure of President Magufuli

Hii awamu ingeanza hapo walipoanza kutawala,badala ya kufukunyua mambo ya miaka 20 iliyopita,
serikali haikosi pesa za kuanzisha ama kuiendeleza TTCL MOBILE ikawa kampuni kubwa ya kupigiwa mfano,kuliko kupoteza mda kuhangaishana na hawa celtel,
 
ubongokid Negative mentality.
I can tell you don't possess any property to be proud of despite you being aged!
 
Why do you like to hide on your own shadow,as a president he is a political figure,and any scrutiny of his performance is a political scrutiny and after all IT IS INDEED POLITICAL,nothing less.Good day
Since you do not have any fact about the issure and you are not the president do not think in his capacity. In any case, avoid thinking in a speculative mood on national issues.

Unajiabisha kwa hoja hafifu kama hizo.
 
It is another morning in a nation where wonders never cease;

Interestingly,Dr.Mpango has said it all;
They are going to the negotiating table to discus the future of Airtel which used to be so many companies,and we all know what usually happens when this regime goes to the negotiating tables,We lose!
It is not yet time but for sure we need results and so far all that we see is some kind of instability.

What are you negotiating with the thieves as you claim,Is it another Makanikia ya Acacia Saga?

Any way All the best on this one,

PBK
What is your advise anyway!!
 
"kwa kweli tumeibiwa sana,yamefanyika mambo ya hovyo kabisa,Tumeingizwa mkenge sana..
Tungeweza kuichukua airtell,lakini tumeamua kuwa wastaarabu na tutafanya nao mazungumzo ili watupe haki yetu,tumeibiwa sana,tumenyanyaswa mnooo....."--
 
Hivi ni nani kati ya celtal, zain na airttel waliingia mkataba na ttcl? Na kama ni celtel ambaye ndiye babu wa airtel asitafutwe huko aliko ndio aje kukaa kwenye meza ya majadiliano na serikali?

Kama hili ni gumu basi watafutwe wote kwani si wapo hai? Sijui vema biashara na mikataba inaingiwaje lakini ni kwanini asihusishwe yule wa mwanzo kabisa na au wote? Ni kwanini iwe airtel tu?

Mbona issue ya Acacia, barick walihusishwa? Najaribu kuuona ugumu wa hili suala na jinsi ambavyo nchi inaweza kukwama kwani muuzaji wa kwanza ni celtel naye akamuuzia zain naye akamuuzia aitel! Hapa sheeia inatakiwa imkamate nani kati yao? Wanasheria msaada.
 
  • Thanks
Reactions: ral
Kabla ya kuunda kamati ya kuchunguza juu ya kiqango cha hisa kinachomilikiwa na Serikali katika kampuni ya simu ya Airtel, Rais alipewa taarifa kuwa Kuna ushahidi Serikali ndiye mmriki halali wa kampuni hii kwa 100%
Sasa uchunguzi, umefanyika na imebainika kuwa Serikali inamiliki 40 na Airtel wanamiliki 60.
Nani Alimdanganya Rais na kwa nini asiwajibishwe?
Jamaa alishasema kuwa anakuwaga na misongo yake ya mawazo
 
Mnadai Serikali inakurupuka. Sasa naamini viongozi wa upinzani na mashabiki wao, kama wewe, ndio mapapa wa kukurupuka kiakili. Rejea ya makinikia mlivyosema na kulaumu!

Mtu mzima na makini hujenga hoja kwa kutumia taarifa za kweli na siyo hisia zake. Wewe hujui tume ya uchunguzi imegundua nini hadi kushauri kufanyika majadiliano, unakurupuka na hitimisho, du!
Ayaa.. Kwa nini watu wakihoji mnawaita wapinzani any way hiyo ndio chanjo mliyojitengenezea.
Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri Mpango kama ukimsikiliza na kwa mujibu wa maelezo ya Rais kama ulimsikiliza, lakini pia DG na mwenyekiti wa bodi ya TTCL na ushahidi wao waliotoa, unataka kuniambia hawa jamaa wameshabadirika kuwa halali kwa kuwa tu mwizi aliwauzia shea nyingi kuliko alizokuwa anamiliki? Tusipojifunza kuhoji pasina shaka nchi hii itajikuta shimoni!
 
Utaacha watu waanze kulia! Mkuu aliingizwa mkenge na kuaminishwa kuna pesa ya kuonyesha nia njema! akasema tunakitaka hicho kishika uchumba Kwa haraka! Hadi kesho hakijawahi hata kuonyesha harufu ya kutua bongo! Akaaminishwa pia kuwa tutapata faida ya biashara ya dhahabu nusu kwa nusu na wawekezaji! Sasa ukiuliza mpaka sasa nusu yetu imefikia sh. ngapi? Hapo utaitwa mchochezi!!!Makinikia yanaozea kwenye makonteina na mwisho wa siku si ajabu wenyewe watarudishiwa kimya kimya!!
Unahakika bado yako hapo Bandarini?
 
It is another morning in a nation where wonders never cease;

Interestingly,Dr.Mpango has said it all;
They are going to the negotiating table to discus the future of Airtel which used to be so many companies,and we all know what usually happens when this regime goes to the negotiating tables,We lose!
It is not yet time but for sure we need results and so far all that we see is some kind of instability.

What are you negotiating with the thieves as you claim,Is it another Makanikia ya Acacia Saga?

Any way All the best on this one,

PBK

Hawa jamaa wamedata,wameanza kuropoka kama mkuu wao,hakuna watakaposhinda zaidi ya matamko,they are crazy ever
 
It is another morning in a nation where wonders never cease;

Interestingly,Dr.Mpango has said it all;
They are going to the negotiating table to discus the future of Airtel which used to be so many companies,and we all know what usually happens when this regime goes to the negotiating tables,We lose!
It is not yet time but for sure we need results and so far all that we see is some kind of instability.

What are you negotiating with the thieves as you claim,Is it another Makanikia ya Acacia Saga?

Any way All the best on this one,

PBK
When u are arguing on something, without a real touch on the contents of that failure, that tend to be your emotions and not facts of reality.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
The heading of your post tells more of your sinister attitude towards President Magufuli more than an issue for discussion here in JF.

Furthermore, you conclusion that we all know what usually happens when this regime goes to the negotiating tables,We lose! is not worth a discussion, unless you elaborate what you meant and the facts about that.
What about Magus sinister attitude towards investors, foreign and or otherwise? Different opinions is certainly what JF is all about, so it's as sinister an attitude to attack authors of posts while there are issues we can dwell on.

Anyway, this is the beauty of democracy!
 
Since you do not have any fact about the issure and you are not the president do not think in his capacity. In any case, avoid thinking in a speculative mood on national issues.

Unajiabisha kwa hoja hafifu kama hizo.
Hoja hafifu? Kwamba Rais sio mwanasiasa kama unavyotaka tuamini?
 
Ayaa.. Kwa nini watu wakihoji mnawaita wapinzani any way hiyo ndio chanjo mliyojitengenezea.
Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri Mpango kama ukimsikiliza na kwa mujibu wa maelezo ya Rais kama ulimsikiliza, lakini pia DG na mwenyekiti wa bodi ya TTCL na ushahidi wao waliotoa, unataka kuniambia hawa jamaa wameshabadirika kuwa halali kwa kuwa tu mwizi aliwauzia shea nyingi kuliko alizokuwa anamiliki? Tusipojifunza kuhoji pasina shaka nchi hii itajikuta shimoni!

Najiuliza tu kiwango chako cha ufahamu na kutafakari masuala mbalimbali hadi kufikia hitimisho kuwa hawa jamaa wameshabadirika. Kama maneno yao, uliyoyarejea, yalikuwa ndiyo hali halisi, pasingekuwa na haja ya kuunda Tume. Ukweli wa suala lenyewe na mapendekezo ni kilichomo kwenye ripoti ya Tume.

Ninachoweza kukwambia wewe na upinzani, ni kwamba kamwe hamtomwelewa Rais Magufuli kwa kuwa hamna agenda yoyote ya kusimamia zaidi ya hicho ulichokibainisha Tusipojifunza kuhoji pasina shaka nchi hii itajikuta shimoni. Hivyo endeleeni kuhoji, ifikapo 2020 sisi wananchi tutawahoji pia.
 
mtamwelewa zitto aliposema tunaongozwa na washamba!! mtajua mshamba ni mtu wa namna gani katika utawala huu
 
ubongokid
We lose? How? Example?
Wachawi wote, mtashindwa, sababu watu wenye utu, hutazama lengo na madhumuni, sababu bila hizi hatua madhubuti, hakuna RAIA wa kawaida angejua aina ya huu uwizi ulivyokuwa unafanyika. That is a win to the majority ordinary citizens, we know he had good intentions. So fvck you all.
Tutakutana 2020
 
Back
Top Bottom