Airtel will be another tragic failure of President Magufuli

Airtel will be another tragic failure of President Magufuli

kama mwanahisa,serikalli ya Tanzania ilikuwepo,kama regulator,serikali ya Tanzania ilikuwepo! transaction kubwa kama hiyo lazima ipate go ahead ya mwanahisa na pia serikali,huu ni muendelezo za siasa za hovyo kwenye biashara
 
By the way, what happened to those containers full of 'makinikia' and the promised USD 300 million (kishika uchumba)?
Utaacha watu waanze kulia! Mkuu aliingizwa mkenge na kuaminishwa kuna pesa ya kuonyesha nia njema! akasema tunakitaka hicho kishika uchumba Kwa haraka! Hadi kesho hakijawahi hata kuonyesha harufu ya kutua bongo! Akaaminishwa pia kuwa tutapata faida ya biashara ya dhahabu nusu kwa nusu na wawekezaji! Sasa ukiuliza mpaka sasa nusu yetu imefikia sh. ngapi? Hapo utaitwa mchochezi!!!Makinikia yanaozea kwenye makonteina na mwisho wa siku si ajabu wenyewe watarudishiwa kimya kimya!!
 
They are taking place my friend,the first,Bombardier,the second Chato Airport,SGR,and money more which are not open to scrutiny because the HOS is untouchable.Time will Tell
You are allegations are with a political view. Good day
 
It's contract issue! Then, the same as MAKINIKIA!!

All over the yrs Airtel has been re-naming every year. Ooh Celtel, Zain, Ooh again Airtel,etc. The Gvt watched these acts!!

Assume, the Gvt entered into Contract with Zain owned by Mr...Xxxx family..
and now, the new Airtel is owned by Mr. XYZ family coy!!

Its the time for the Gvt to act as a board of learned people and not a board STUPID employee!
 
Watu wanatuweka kwenye matatizo halafu muda ukifka wanasema tumeibiwa sana, tumeingizwa mkenge na kauli nyingine kama hzo embu tuone waliotuweka kwenye hayo matatizo wakichukuliwa hatua kwanza ndo maongez na majadiliano yafuate maana hata hayo majadkliano yanaweza yasiwe na tija au yakawa nayo bt japo watakua wamethubutu kuchukua hatua
 
Kabla ya kuunda kamati ya kuchunguza juu ya kiqango cha hisa kinachomilikiwa na Serikali katika kampuni ya simu ya Airtel, Rais alipewa taarifa kuwa Kuna ushahidi Serikali ndiye mmriki halali wa kampuni hii kwa 100%

Sasa uchunguzi, umefanyika na imebainika kuwa Serikali inamiliki 40 na Airtel wanamiliki 60.
Nani Alimdanganya Rais na kwa nini asiwajibishwe?
 
Well it is a point of discussion,and it is also in my opinion that this will be futile and tragic as we have seen in the previous attempts by this regime to negotiate.I believe JPM as the HOS has to worry more about giving us tangible results instead of mocking himself through his public announcements which end to nothing but disgracing conclusions which negatively affect our country in the eyes of investors both local and foreign.

If you think my attitude is wrong then think twice.Let him prove us wrong on this one and get Airtel back to TTCL if it is all they can and at least we will have something to brag about.

Ok Mrs and mr „coherent of biases „ there is nothing wrong with the President .you are the problem .work and stop looking for non issues. Who are you. If you are a good citizen ‚just play your part. Work and earn justly .and when mission town people like you justly earn their bread. Then JP will have no problem cause He just want „the right thing to be done „ .only two years and everyday you want to write negative things. That’s a disease and it will surely destroy your heart and mind. You are sick
 
  • Thanks
Reactions: Oii
This regime and their thirsty for "kikis", PR stunts,we all know that in the all airtel deals from,TTCL to zain,celtel,there were corruptions,

First bling all the officials who oversaw this deal to book,if no one has been jailed because of this,then there was no theft,and stop wasting our time,

And for godsake stop turnishing private companies names,these multinationals,have invested all of money,and provide employments,how do you burgain with those you claim stole your property,jail first your corrupt officials,then you may point finger to other,before that,shut up
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Bad move driven by emotions and appetite to prove others especially predecessors wrong
 
Keep on hoping for disgracing results, but what is obvious is the fact that such purposeful stupid errors will not take place again in Magufuli's regime.


But it take the place right now as you are talking.
Don't you see what's going on?
 
I dont get it, if some regulations were violated all those days, they want either to remedy it or compensated...what is wrong with that?

if they are going to fail during the course that also will be okay at least they tried

we have been always blaming ccm and the govt for corruption contracts all these days....now someone is ON IT...we are coming up with very discouraging statements like this

You know for sure this is not about "tragic failure" it is about your grudges and malice that are hunting you
Acheni ung'eng'e njoni kwenye lugha ya mama tuelewane vizuri.
Swali langu liko hivi kwa mujibu wa sheria zetu ukikutwa unamiliki mali ambayo haikupatikana kwa njia halali ni nini kinatokea? Au sheria za wazawa na wageni zinatofautiana, kwamba mzawa unataifishwa mali na kurejeshwa kwa mwenyewe na kifungo juu bila kujali hata kama umeinunua ili mradi tu umekutwa na mali ya wizi! Mgeni kumbe ni kukaa mezani na kujadiliana!
Sasa tunajadiliana na nani? Maana hapa wezi ni wengi!
 
Ok Mrs and mr „coherent of biases „ there is nothing wrong with the President .you are the problem .work and stop looking for non issues. Who are you. If you are a good citizen ‚just play your part. Work and earn justly .and when mission town people like you justly earn their bread. Then JP will have no problem cause He just want „the right thing to be done „ .only two years and everyday you want to write negative things. That’s a disease and it will surely destroy your heart and mind. You are sick
I am indeed very sick,of this regime approach.I am mission towner a survivor and if his action are jeopardizing my profession have I no right to say it at least?Any way We do not all see eye to eye but the facts are indeed plain,the Airtel deal is another display of his schmuck.
 
Acheni ung'eng'e njoni kwenye lugha ya mama tuelewane vizuri.
Swali langu liko hivi kwa mujibu wa sheria zetu ukikutwa unamiliki mali ambayo haikupatikana kwa njia halali ni nini kinatokea? Au sheria za wazawa na wageni zinatofautiana, kwamba mzawa unataifishwa mali na kurejeshwa kwa mwenyewe na kifungo juu bila kujali hata kama umeinunua ili mradi tu umekutwa na mali ya wizi! Mgeni kumbe ni kukaa mezani na kujadiliana!
Sasa tunajadiliana na nani? Maana hapa wezi ni wengi!
Safi sana!!,Usijali ung'eng'e ni kwa ajili ya kuwasensore wale makanjanja wao aka wakina Bashite wasiharibu UZI ila mjadala ni bilingual.Ukiweza fasiri basi inatosha
 
I dont get it, if some regulations were violated all those days, they want either to remedy it or compensated...what is wrong with that?

if they are going to fail during the course that also will be okay at least they tried

we have been always blaming ccm and the govt for corruption contracts all these days....now someone is ON IT...we are coming up with very discouraging statements like this

You know for sure this is not about "tragic failure" it is about your grudges and malice that are hunting you

Corruption corruption,that was everything in yester regimes,before going out calling multinationals,thieves,the corrupt officials must be jailed first,

We can not continue saying,you know this contracts,and regulation were violated,in the past regimes,and these companies are stealing our resources,while you have not tried,convict,and jail your corrupt officials,

What Maghufuli and company,should do is,first arrest all officials who were involved,try,them,get a conviction,send them to jail,then we can face these multinationals, and say look here guys,the officials, you dealt with are in jails, let's go through these contracts again
 
Acheni ung'eng'e njoni kwenye lugha ya mama tuelewane vizuri.
Swali langu liko hivi kwa mujibu wa sheria zetu ukikutwa unamiliki mali ambayo haikupatikana kwa njia halali ni nini kinatokea? Au sheria za wazawa na wageni zinatofautiana, kwamba mzawa unataifishwa mali na kurejeshwa kwa mwenyewe na kifungo juu bila kujali hata kama umeinunua ili mradi tu umekutwa na mali ya wizi! Mgeni kumbe ni kukaa mezani na kujadiliana!
Sasa tunajadiliana na nani? Maana hapa wezi ni wengi!

Mnadai Serikali inakurupuka. Sasa naamini viongozi wa upinzani na mashabiki wao, kama wewe, ndio mapapa wa kukurupuka kiakili. Rejea ya makinikia mlivyosema na kulaumu!

Mtu mzima na makini hujenga hoja kwa kutumia taarifa za kweli na siyo hisia zake. Wewe hujui tume ya uchunguzi imegundua nini hadi kushauri kufanyika majadiliano, unakurupuka na hitimisho, du!
 
Safi sana!!,Usijali ung'eng'e ni kwa ajili ya kuwasensore wale makanjanja wao aka wakina Bashite wasiharibu UZI ila mjadala ni bilingual.Ukiweza fasiri basi inatosha
Hahahahaa
Thanks
But I still have one question, is our law toothless about this issue? Why we are going to negotiate with a thieves?
 
You are allegations are with a political view. Good day
Why do you like to hide on your own shadow,as a president he is a political figure,and any scrutiny of his performance is a political scrutiny and after all IT IS INDEED POLITICAL,nothing less.Good day
 
It is another morning in a nation where wonders never cease;

Interestingly,Dr.Mpango has said it all;
They are going to the negotiating table to discus the future of Airtel which used to be so many companies,and we all know what usually happens when this regime goes to the negotiating tables,We lose!
It is not yet time but for sure we need results and so far all that we see is some kind of instability.

What are you negotiating with the thieves as you claim,Is it another Makanikia ya Acacia Saga?

Any way All the best on this one,

PBK
Hoja yako ya kutetea ******* mabasha wasagaji imekufa. Umekuja kivingine tena
 
Hii awamu ingeanza hapo walipoanza kutawala,badala ya kufukunyua mambo ya miaka 20 iliyopita,
serikali haikosi pesa za kuanzisha ama kuiendeleza TTCL MOBILE ikawa kampuni kubwa ya kupigiwa mfano,kuliko kupoteza mda kuhangaishana na hawa celtel,
 
Back
Top Bottom