Airtel Wamekuwa wezi Kwa Wateja wao

Airtel Wamekuwa wezi Kwa Wateja wao

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Mtandao wa Airtel wamekua wezi. Nimekua nikitumia mtandao huu kwa ajir ya internet, lakini wamekua wakiniibia vocha zangu. endapo nitaweka vocha na hata nikitoa line ktk cm au modem nikija kucheki nakuta vocha hakuna. Leo nimehakikisha hili, nimeweka vocha jana usiku ili asubuhi niweze kujiunga na vifurushi, nikawa nimetoa line katika router nikaiweka mezani. leo asubuh naamka nataka kujiunga nakuta hakuna salio.
Wapendwa ni Mtandao gani waiokua na wizi niweze Kuhamia
 
Hamia Tigo sio wezi pia hata vifurushi vyao ni vizuri zaidi nadhani...
 
Mtandao wa Airtel wamekua wezi. Nimekua nikitumia mtandao huu kwa ajir ya internet, lakini wamekua wakiniibia vocha zangu. endapo nitaweka vocha na hata nikitoa line ktk cm au modem nikija kucheki nakuta vocha hakuna. Leo nimehakikisha hili, nimeweka vocha jana usiku ili asubuhi niweze kujiunga na vifurushi, nikawa nimetoa line katika router nikaiweka mezani. leo asubuh naamka nataka kujiunga nakuta hakuna salio.
Wapendwa ni Mtandao gani waiokua na wizi niweze Kuhamia

weka namba yako tuwatumie waskaji wakuangalizie!
 
Weka hela yako Kwenye AIRTEL money. Ukitaka kujiunga unatoa ya kujiunga unajiunga sa hiyo hiyo
 
hapo umeronga mkuu, maana ikimaliza dk.5 huikuti
 
Back
Top Bottom