Airtel wapunguza kifurushi cha Internet

Ceftriaxon

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
446
682
Hali inazidi kua mbaya,nimekua nikitumia mtandao wa airtel kwa zaidi ya miaka 16,nafikiri kuachana na huu mtandao, kifurushi Chao cha Internet kinakwisha kwa haraka na sasa wamepunguza kabisa hizo bundle...nafikiri kubaki na line ya Halotel tu kwa sasa.
 
Samaki mmoja akioza wote wameoza...mki appy hii kanuni kwa mkupuo....batanyoroka
 
ata voda mkuu nilikua najiunga cha wiki 5000 napata GB 2.8 sasa ivi napata 2.4 GB
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom