AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

Deo ondoa hii kitu haraka kwenye thread yangu bwana.., we vipi.., anzisha thread yako uweke hii habari nadhani ita-make headline.., afu kesho yake ujikute mabwepande shauri yako..

Kuwa Kama Mwanamume na Usiwe Mwanaume!!! Unaogopa Nini Chini Ya Jua hili? Waoga Kama Nyie Ndiyo Mnatuponza Sisi Wapenda Mabadiliko na Maendeleo Ya Nchi Yetu hii. Mtu Mkweli na Muwazi hata Mwenyezi Mungu Anampenda na Siku Zote Mtu Mwoga Huwa Ni Mbumbumbu na Asiye na Thamani hata Ya Kuishi Duniani. Hivi Edward Snowden Angekuwa Mwoga Kama Wewe Leo Hii Tungejua Siri Kubwa na Za Kwamba Wamarekani Wanafanya Ujasusi ktk Simu Za Viongozi Wakubwa Kabisa Duniani, Mitandao Ya Kijamii na Hata ktk Nchi Nyingi Duniani hadi Ikapelekea Rais Wao Akaomba Radhi? Hivi Unajua Kwanini Wakazi Wengi Waliokuwa Wanaishi Pale Zamani Drive in Cinema ambapo Sasa Kuna Ofisi za Kampuni Ya Simu Ya Zantel na Ubalozi Wa Marekani Wamehama na Kuuza Maeneo Yao? Kwa Taarifa Yako tu na Kwa Faida Yako Eneo Lile Zima Kwa Urefu wa Mita 500 East, West, North and South Kila Kinachofanyika ktk Nyumba Jamaa Ubalozini Wanaona na Wanajua Siri Nyingi Sana za Wakazi wa Pale na Kwa Kukupa tu Taarifa Nyingine Juzi tu Siku Ya Alhamisi Kuamkia Ijumaa Nyumba Ya Mwarabu Ipo Kama Mita 100 Tu Kutoka Uwanja Wa Msasani Magunia Usiku Walivamiwa na Majambazi na Cha Kushangaza Wenye Nyumba Walikuwa Hawajui na Wamelala Fofofo ila Watu wa Ubalozini Walikuwa Wana Monitor ktk Mitambo Yao Wakaona Tukio Zima na Kuwatuma Askari Wao Kwenda ktk Nyumba Na Kufanikiwa Kuwafurumusha Wale Majambazi Ndipo Mwarabu Kushtuka na Kuamka na Mitongotongo Yake Machoni na Akishangaa. Nimekudokolea Baadhi tu na Siku Nyingine Nikijisikia Nitakuambia ni Kwanini Watu Wengi Walionunua Yale Magari Ya Mnada Yaliyokuwa Yanauzwa Pale Ubalozi wa Marekani Mwaka Jana Sasa Hawayaendeshi tena na Pia Kwanini Siku Hizi Watu Wenye Akili Wanakwepa Simu za Blackberry Zile Original Za Kutoka US na Pia Nikijisikia Nitawaambieni Ni Kwanini Mara Baada tu Ya Ujio wa Rais Wa Dunia Mwenye Asili Ya Kenya Alipoondoka tu Jijini Kesho Yake Zile Simu Zote Takribani 1000 ( Elfu Moja Nasisitiza ) Zilizotumika ktk Mawasiliano Zilisagwasagwa na Zikawa Nyang'anyang'a na Lile Gari Maalum La Kushindilia Kifusi au Lami. Kwa Wamarekani Sisi Tuko Uchi ( Utupu ) Wa Mnyama Na Wanatusanifu na Kutukejeli Watakavyo. Wajinga Ndiyo Waliwao......................................!!!!!!!! Jumapili Njema Wana JF Wote.
 
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kumuota PK Mbwa wee..!!!!

Tena sasa wamepunguza mbwembwe zao!! Zamani pale mwenge magari yakiruhusiwa kwenye foleni utawaona mkono mmoja bango la airtel, mwingine anakupungia!! Chakushangaza wanapungia mikono watu wenye stress zao zamsisha
 
Gentamycine mkuu nakukubali.big up

Akhsante GEBA2013 Na ni Wajibu Wangu ktk Kuwashirikisheni Kwa Kile Ninachokijua na Nilicho na Uzoefu Nacho Kwani hata Mimi Pia Najifunza Vingi Sana na Mno Kutoka Kwenu Humu Humu JF. Pamoja Sana Mdau!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuwa Kama Mwanamume na Usiwe Mwanaume!!! Unaogopa Nini Chini Ya Jua hili? Waoga Kama Nyie Ndiyo Mnatuponza Sisi Wapenda Mabadiliko na Maendeleo Ya Nchi Yetu hii. Mtu Mkweli na Muwazi hata Mwenyezi Mungu Anampenda na Siku Zote Mtu Mwoga Huwa Ni Mbumbumbu na Asiye na Thamani hata Ya Kuishi Duniani. Hivi Edward Snowden Angekuwa Mwoga Kama Wewe Leo Hii Tungejua Siri Kubwa na Za Kwamba Wamarekani Wanafanya Ujasusi ktk Simu Za Viongozi Wakubwa Kabisa Duniani, Mitandao Ya Kijamii na Hata ktk Nchi Nyingi Duniani hadi Ikapelekea Rais Wao Akaomba Radhi? Hivi Unajua Kwanini Wakazi Wengi Waliokuwa Wanaishi Pale Zamani Drive in Cinema ambapo Sasa Kuna Ofisi za Kampuni Ya Simu Ya Zantel na Ubalozi Wa Marekani Wamehama na Kuuza Maeneo Yao? Kwa Taarifa Yako tu na Kwa Faida Yako Eneo Lile Zima Kwa Urefu wa Mita 500 East, West, North and South Kila Kinachofanyika ktk Nyumba Jamaa Ubalozini Wanaona na Wanajua Siri Nyingi Sana za Wakazi wa Pale na Kwa Kukupa tu Taarifa Nyingine Juzi tu Siku Ya Alhamisi Kuamkia Ijumaa Nyumba Ya Mwarabu Ipo Kama Mita 100 Tu Kutoka Uwanja Wa Msasani Magunia Usiku Walivamiwa na Majambazi na Cha Kushangaza Wenye Nyumba Walikuwa Hawajui na Wamelala Fofofo ila Watu wa Ubalozini Walikuwa Wana Monitor ktk Mitambo Yao Wakaona Tukio Zima na Kuwatuma Askari Wao Kwenda ktk Nyumba Na Kufanikiwa Kuwafurumusha Wale Majambazi Ndipo Mwarabu Kushtuka na Kuamka na Mitongotongo Yake Machoni na Akishangaa. Nimekudokolea Baadhi tu na Siku Nyingine Nikijisikia Nitakuambia ni Kwanini Watu Wengi Walionunua Yale Magari Ya Mnada Yaliyokuwa Yanauzwa Pale Ubalozi wa Marekani Mwaka Jana Sasa Hawayaendeshi tena na Pia Kwanini Siku Hizi Watu Wenye Akili Wanakwepa Simu za Blackberry Zile Original Za Kutoka US na Pia Nikijisikia Nitawaambieni Ni Kwanini Mara Baada tu Ya Ujio wa Rais Wa Dunia Mwenye Asili Ya Kenya Alipoondoka tu Jijini Kesho Yake Zile Simu Zote Takribani 1000 ( Elfu Moja Nasisitiza ) Zilizotumika ktk Mawasiliano Zilisagwasagwa na Zikawa Nyang'anyang'a na Lile Gari Maalum La Kushindilia Kifusi au Lami. Kwa Wamarekani Sisi Tuko Uchi ( Utupu ) Wa Mnyama Na Wanatusanifu na Kutukejeli Watakavyo. Wajinga Ndiyo Waliwao......................................!!!!!!!! Jumapili Njema Wana JF Wote.
Nimekukubali kwa hili tuu na si jingine..!!
 
Ww nawe ,kwa hiyo ww unaona Vumbi na jua ndo taabu saana kwao ..
ww unayefanya kwenye AC siku nzima unajiona upo kwnenye kazi bora kumbe magonjwa tu hayo ..
Kila kazi na mazingira yake .. ukimtoa hapo kwenye kushika bango ,utaenda kumpa ajira gani ,kuuiba au kujiuza .. embu kwanza ungepropose biashara mbadala kwao ,alafu useme hayo unayoyasema ..

tuambie ajira nzuri wanazoweza kauzifanya vijana watz wenye elimu duni ..

Thnk Big ..
 
Wafuate ushauri wa kala jeremiah.., "...uza smartphone ukafuge kuku wa kisasa.."
 
Labda wanapewa lita za maziwa kila siku kuondoa vumbi na sumu nyingine.
 
wakibeba sembe mnachonga, wakifanya kazi za halali mnachonga! acheni watu wafanye kazi. kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani.
 
Nakuona kwa jicho la tatu.wewe ni mtu jasiri kiasi,unapenda kujuwa/kudadisi siri zilizojificha, hasa nje ya nchi.unajuwa siri nyingi za nje na ndani ya nchi,ziwe za siasa,teknorojia ama nyota lkn unahofia Usalama wako.
Unaweza ukawa Snowden wa Bongo ila Hofu yako kung'olewa meno,Kucha na kope bila ganzi.
Ila Andika kitabu(kama ulikuwa bado au kuwa na wazo)eleza yoote ya sirini,utavuna sana.
Kuwa Kama Mwanamume na Usiwe Mwanaume!!! Unaogopa Nini Chini Ya Jua hili? Waoga Kama Nyie Ndiyo Mnatuponza Sisi Wapenda Mabadiliko na Maendeleo Ya Nchi Yetu hii. Mtu Mkweli na Muwazi hata Mwenyezi Mungu Anampenda na Siku Zote Mtu Mwoga Huwa Ni Mbumbumbu na Asiye na Thamani hata Ya Kuishi Duniani. Hivi Edward Snowden Angekuwa Mwoga Kama Wewe Leo Hii Tungejua Siri Kubwa na Za Kwamba Wamarekani Wanafanya Ujasusi ktk Simu Za Viongozi Wakubwa Kabisa Duniani, Mitandao Ya Kijamii na Hata ktk Nchi Nyingi Duniani hadi Ikapelekea Rais Wao Akaomba Radhi? Hivi Unajua Kwanini Wakazi Wengi Waliokuwa Wanaishi Pale Zamani Drive in Cinema ambapo Sasa Kuna Ofisi za Kampuni Ya Simu Ya Zantel na Ubalozi Wa Marekani Wamehama na Kuuza Maeneo Yao? Kwa Taarifa Yako tu na Kwa Faida Yako Eneo Lile Zima Kwa Urefu wa Mita 500 East, West, North and South Kila Kinachofanyika ktk Nyumba Jamaa Ubalozini Wanaona na Wanajua Siri Nyingi Sana za Wakazi wa Pale na Kwa Kukupa tu Taarifa Nyingine Juzi tu Siku Ya Alhamisi Kuamkia Ijumaa Nyumba Ya Mwarabu Ipo Kama Mita 100 Tu Kutoka Uwanja Wa Msasani Magunia Usiku Walivamiwa na Majambazi na Cha Kushangaza Wenye Nyumba Walikuwa Hawajui na Wamelala Fofofo ila Watu wa Ubalozini Walikuwa Wana Monitor ktk Mitambo Yao Wakaona Tukio Zima na Kuwatuma Askari Wao Kwenda ktk Nyumba Na Kufanikiwa Kuwafurumusha Wale Majambazi Ndipo Mwarabu Kushtuka na Kuamka na Mitongotongo Yake Machoni na Akishangaa. Nimekudokolea Baadhi tu na Siku Nyingine Nikijisikia Nitakuambia ni Kwanini Watu Wengi Walionunua Yale Magari Ya Mnada Yaliyokuwa Yanauzwa Pale Ubalozi wa Marekani Mwaka Jana Sasa Hawayaendeshi tena na Pia Kwanini Siku Hizi Watu Wenye Akili Wanakwepa Simu za Blackberry Zile Original Za Kutoka US na Pia Nikijisikia Nitawaambieni Ni Kwanini Mara Baada tu Ya Ujio wa Rais Wa Dunia Mwenye Asili Ya Kenya Alipoondoka tu Jijini Kesho Yake Zile Simu Zote Takribani 1000 ( Elfu Moja Nasisitiza ) Zilizotumika ktk Mawasiliano Zilisagwasagwa na Zikawa Nyang'anyang'a na Lile Gari Maalum La Kushindilia Kifusi au Lami. Kwa Wamarekani Sisi Tuko Uchi ( Utupu ) Wa Mnyama Na Wanatusanifu na Kutukejeli Watakavyo. Wajinga Ndiyo Waliwao......................................!!!!!!!! Jumapili Njema Wana JF Wote.
 
Nakuona kwa jicho la tatu.wewe ni mtu jasiri kiasi,unapenda kujuwa/kudadisi siri zilizojificha, hasa nje ya nchi.unajuwa siri nyingi za nje na ndani ya nchi,ziwe za siasa,teknorojia ama nyota lkn unahofia Usalama wako.
Unaweza ukawa Snowden wa Bongo ila Hofu yako kung'olewa meno,Kucha na kope bila ganzi.
Ila Andika kitabu(kama ulikuwa bado au kuwa na wazo)eleza yoote ya sirini,utavuna sana.

Akhsante Kwa Ushauri Wako Mdau na Nitalifanyia Kazi Pendekezo Lako. Alamsiki!!!!!!!!!!!!!
 
wakibeba sembe mnachonga, wakifanya kazi za halali mnachonga! acheni watu wafanye kazi. kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani.

Safi sana nimependa hi?
yote maisha bwana ili mradi upate chochote ujikimu kuliko angenda kuiba?! Tazara leo wali mwagika wengi sana leo kweli ajira tz hakuna?
 
Kumbe pesa za kulipa hawa akina dada naskia wanazipata kwa kutapeli watu kupitia AIRTEL MONEY. mdau IKWETE wamemliza 90,000 yake bwana..
 
Mkuu yaani we pita pale hasa ule upande wenye vumbi kwenye kona ya kuelekea kituoni.., wanatia huruma hakyaanani.., huu si ubinadamu kwa kweli.., mikampuni hii mi nitaanza mgomo binafsi.., na komaa tigo tuu.., shenz type...!

Tigo ndiyo walioanza huo utaratibu mkuu, hadi mikoani walikuwapo hao vijana wa barabarani.
 
Kwengineko wanajiuza, wanauza bar, n.k hapa ndio wewe unaona wamedhalilishwa. Wangeonekana vigori wa kizungu wNafanya kazi hy ungekuwa na maoni togauti 'WENZETU HAWA MAJEMBE, HAWACHAGUI KAZI'

Miswahili bwana
 
Back
Top Bottom