evaryne deus
Member
- Jan 15, 2014
- 71
- 13
Ndo maisha jaman.
Yaani una AKILI we mtu mpaka basi..! Nakutunukia Honorary PHD kama wanayotaka apewe Ponda..!!Ajira ní lazima narudia tena ní LAZIMA ijali na kuthamini utu wa mwanadamu. Ajira yoyote inayodhalilisha utu wa mwanadamu ní kosa kisheria na ní dhambi mbele za Mungu. Tatizo la nchi yetu haina mamlaka(kama ipo ní bure tu) inayoangalia hizo haki za wafanyakazi. Kama mtu anajua masuala ya kitabibu na afya ya jamii atuambie binadamu anaweza kusimama kwa muda bila kuleta matatizo, matatizo ya kiafya yatokanayo na vumbi, moshi na kelele, matatizo ya kisaikolojia, na namna hiyo ajira inavyowajibika kwa hayo. Nenda pale twiga cement angalia era zao za usalama ona wanavyojitaidi kuzisimamia...halafu fananisha na hao mnaowapongeza wamepata ajira...ní hatari tupu...
Mkuu yaani we pita pale hasa ule upande wenye vumbi kwenye kona ya kuelekea kituoni.., wanatia huruma hakyaanani.., huu si ubinadamu kwa kweli.., mikampuni hii mi nitaanza mgomo binafsi.., na komaa tigo tuu.., shenz type...!
FRANCIS DA DON don't be a narrow minded person,kuwepo humu JF inaonyesha umebahatika kuwa na access ya internet, jaribu kufanya research hata kwa kutumia google kama ulivyomshauri mtu mwingine hapo juu, hizo ajira za kushika mabango ya matangazo barabarani hata nchi zilizoendelea zipo, kuna jamaa ameshakwambia hapo juu na mimi nimeshuhudia kwa macho na wanazifanya watu wote weupe na weusi.
Hapa unachotakiwa kujenga hoja ni kama malipo wanayopewa yanaendana na risks associated with that kind of job, kama wanashinda masaa 12 wanapewa 500 au 1000 au kiasi kingine kidogo (relatively) tunaweza kuwasemea, lakini sio kwamba wanadhalilika kusimama hapo, umeshapewa mifano mingi ya kazi za kushinda juani na kupigwa vumbi. Risk za ajali hata mtembea kwa miguu anazo sio hao tu! Pia kama hizo kampuni zinaajiri watoto hapo tunaweza ita udharilishaji.
Mkuu Mimi nahisi serakali yetu awajastuka.wanaonalakini awajui kinachoendelea.mpka cku moja gari likosenjia limparamie mtu. Pili hawa jamaa wanakwepa kodi za manispaa .
FRANCIS DA DON don't be a narrow minded person,kuwepo humu JF inaonyesha umebahatika kuwa na access ya internet, jaribu kufanya research hata kwa kutumia google kama ulivyomshauri mtu mwingine hapo juu, hizo ajira za kushika mabango ya matangazo barabarani hata nchi zilizoendelea zipo, kuna jamaa ameshakwambia hapo juu na mimi nimeshuhudia kwa macho na wanazifanya watu wote weupe na weusi.
Hapa unachotakiwa kujenga hoja ni kama malipo wanayopewa yanaendana na risks associated with that kind of job, kama wanashinda masaa 12 wanapewa 500 au 1000 au kiasi kingine kidogo (relatively) tunaweza kuwasemea, lakini sio kwamba wanadhalilika kusimama hapo, umeshapewa mifano mingi ya kazi za kushinda juani na kupigwa vumbi. Risk za ajali hata mtembea kwa miguu anazo sio hao tu! Pia kama hizo kampuni zinaajiri watoto hapo tunaweza ita udharilishaji.
1.) Kitu kufanyika nchi 'zilizoendelea' hakumaanishi ndicho kitu sahihi, otherwise tunasubiri nini kuhalalisha ushoga?FRANCIS DA DON don't be a narrow minded person,kuwepo humu JF inaonyesha umebahatika kuwa na access ya internet, jaribu kufanya research hata kwa kutumia google kama ulivyomshauri mtu mwingine hapo juu, hizo ajira za kushika mabango ya matangazo barabarani hata nchi zilizoendelea zipo, kuna jamaa ameshakwambia hapo juu na mimi nimeshuhudia kwa macho na wanazifanya watu wote weupe na weusi.
Hapa unachotakiwa kujenga hoja ni kama malipo wanayopewa yanaendana na risks associated with that kind of job, kama wanashinda masaa 12 wanapewa 500 au 1000 au kiasi kingine kidogo (relatively) tunaweza kuwasemea, lakini sio kwamba wanadhalilika kusimama hapo, umeshapewa mifano mingi ya kazi za kushinda juani na kupigwa vumbi. Risk za ajali hata mtembea kwa miguu anazo sio hao tu! Pia kama hizo kampuni zinaajiri watoto hapo tunaweza ita udharilishaji.
Exactly..!!! na hicho ndio huleta psychological stress ya hali ya juu sana na hum-degrade mtu kiasi cha kumuondolea self esteem yake kabisa..!! UDHALILISHAJI wa kiwango cha juu sana..!!Halafu ukimwangalia usoni wanakuwa na aibu sana ila wanakomaa tu.....
we jamaa inaonyesha ni jinsi gani upeo wako wa kufikiri ulivyo mdogo, unalinganisha kazi halali na ushoga? hapa tunaongelea kazi sio mambo ya kishoga, hivi hao wadada wanaosimama juani wakifanya kazi halali na wale wanaopelekwa usiku makaburini kinondoni na kufanyishwa ngono ambayo malipo yake ni 500 na 1000 ni wepi wanadhalilishwa?wepi wana risk maisha, acha kutoa povu, weka pointi za msingi1.) Kitu kufanyika nchi 'zilizoendelea' hakumaanishi ndicho kitu sahihi, otherwise tunasubiri nini kuhalalisha ushoga?
2.) Pesa isiwe fimbo ya kushusha hadhi ya binadamu mwenzako, hata kama ni shs.10,000 hiyo mnayoikomalia kila saa.
Get my like bro, elimu ni muhimu sana ndugu yangu, naona yeye amekariri kuwa kila sehemu lazima lisimikwe bango, hayo mabango yakijaa hachelewi kuja hapa kuanza kusema yanaharibu shoo ya mjiAchana naye hizo kazi zipo nimewai kuziona nchi nyingi sana kama marekan,nchi za asia, ulaya etc makampuni upenda kuwatumia vijana kwenye kutangaza bidhaa zako wanakuwa wapo sehemu mbalimbali na karatas ukifika unapewa pia wakat mwingine wana mabango.
Nina wasiwasi na elimu ya mtoa mada ata kidato cha nne hajafika.
Ukosefu wa elimu ya biashara na masoko ni janga sana.
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
View attachment 140563
Out of topic kabisa, sijui umeamka sasa hivi!