AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi na vumbi la magari pale ubungo kama masanamu.., yaani daaa..!, hivi hayo matangazo mkiweka kwenye mabango mtapungukiwa na nini.., ndo mnakwepa kodi au..??! MKOMEE!! Ona huyu dada mwenye shirt la airtel hapo (shirt jekundu, picha nimepiga kwa mbali)
IMG_20140220_153215176.jpg
 
View attachment 140563

mbuzi hula urefu wa kamba yake.
 
Sasa kazi hakuna unafikiri Airtel au voda wanawalazimisha kuchukua kazi za kusimama na mabango ......ugumu wa maisha ndo maana sister yuko tayari kushika bango masaa 12 kwa hela <=10000 per day
 
Hiyo siyo ajira bali ni matezo bora hata wangekuwa wanatembea nayo kulikoni, kusimama nalo pale siku nzima.....nawaonaga pale morocco hadi wanatia huruma
 
Sasa kazi hakuna unafikiri Airtel au voda wanawalazimisha kuchukua kazi za kusimama na mabango ......ugumu wa maisha ndo maana sister yuko tayari kushika bango masaa 12 kwa hela <=10000 per day
Mkuu yaani we pita pale hasa ule upande wenye vumbi kwenye kona ya kuelekea kituoni.., wanatia huruma hakyaanani.., huu si ubinadamu kwa kweli.., mikampuni hii mi nitaanza mgomo binafsi.., na komaa tigo tuu.., shenz type...!
 
Lalamika na matrafic wanaosimama hivo. We mtu ni wa ajabu sana wewe umetoa ajira ngap? Mitanzania mingine inasikitisha.

Ata ukienda nchi zilizoendelea hayo mambo yapo.
Bora mtu afanye kazi harali kuliko kujiuza.

Upeo wako ni mfup sana
 
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kuota
 
Acha kuongea kama umekurupuka kwenye ndoto.., we umeshawahi kupita huku Dar ukawaona.??! Unaishi Dar na unalifahamu jua na vumbi la huku.., au we hata ni mtanzania kwanza..??! Its simply inhumane my friend.., yaani ni kama zile enzi za utumwa the way i see it..., nothing justifies this.., wawape hata ajira ya kutembea nayo tuu lakini sio namna ile.., ina athari hata kisaikolojia na inashusha self-esteem ya mtu. kweli unaweza imagine ur sis anatendewa vile na ukafurahia..??! haya rudi usingizini uendelee kumuota PK Mbwa wee..!!!!

Hizo kazi wamelazimishwa? Au ni hiari?
 
Kweli ni adhabu pia hata kwa vijana Wa kiume! Basi wawape hata viti! Angalia pale round about ya Kawe! Tena ni hatari kugongwa na. Vyombo vya moto, gari,bodaboda etc. 10,000 ? Kuna wengine 5,000
 
Hata buguruni sheri walikuepo asubuhi yani wanatia huruma japo wao wanaona kawaida.

umeshawahi kuwaona wanavyotia huruma kwa kukosa hata shilingi hamsini...??? Hata kazi unaifanya wewe na wengine, kuna watu wanakuonea huruma...
 
Hii inaitwa Human Billboard, iko kila mahali duniani lengo ni kutoa ajira kwa wale wasionazo na pia kutangaza product/service kwenye maeneo ambayo hamna uwezekano wa kuweka permanent bilboards.

Hamna udhalilishaji hapo, kuna kazi mbaya zaidi ya hizo kama vile kuzibua vyoo, umalaya, kubeba madawa n.k na bado watu wanafanya na hamna udhalilishaji
 
Nyie mnaona kazi wanayofanya ni ngumu, lakini wao ni rahisi, waacheni waendelee siku wakiona ni ngumu wataacha
 
Nikiwasoma mnavyofuka nawapatia picha mlivyo wavivu. Yaani ajira zilivyo ngumu, hiyo kazi hadi apate keshatongozwa hadi kajichukia! Watu wanashinda kiwandani kwenye kelele, vumbi, joto na sumu na wanalupwa 80,000/= mwisho wa mwezi. Unajua Ni sh ngapi kwa simu kwa mtu anaefanya kazi 6days a week? Mi ndio maana sigawi hela kwa ndugu, kama Una shida nakutaftia kazi nakuacha hapo!
 
Back
Top Bottom