AIRTEL->TiGO rahisi kuliko AIRTEL->AIRTEL!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Wakuu nimegundua hichi kitu:
Ukipiga simu kutoka airtel kwenda airtel ni expensive sana tofauti na ukipiga airtel kwenda tigo. I know it sounds crazy lakini jaribu utaona.
I can't recall the exact call duration but the expenses were definitely as i've said.
 
Ulipojaribu ulipata figures gani? Kwanini tujaribu wakati wewe ulishajaribu?

Hebu upgrade posti yako iwe kamilifu zaidi
 
Back
Top Bottom