Airtel walikuwa wanafanya janja janja kuishi baada ya kuuishi uhalisia wamekuwa watu wa hovyo! Nilituma hela nikiwa kwenye basi isaka nakuja dar mpaka nafika dar sijapokea sms na nliemtumia hajapokea hela, tangu wauze minara wamekuwa washenzi kupita kiasi! Internet yao kwa sasa kufika speed ya 1mbs/sec ni vigumu mno!
Wajitafakari