Airtel Tanzania huduma kwa wateja imekuwa tatizo

Matatizo mengine yote inafanana na wenzake ila kutopatikana nikiwa kijijini kwetu ndiyo inaniuma
 
Airtel ni majanga hasa, vifurushi vyao ni Rafiki sana, nawapongeza kwa hilo but ukweli hawana customer care kabisa kulinganisha na VODA, niwahama VODA baada ya wao kua wanakata PESA zangu bila sababu za msingi ingawa wale mabinti wa customer care wanaongea vizuri kweli, hata kama ume paniki vipi still watakufurahisha but niliamua kuachana na VODA, Airtel network ya internet inasumbua mno na ukiwapigia customer care ndio kama ulivyo sema, badirikeni aise, kwanza tuna share mjue na nyie
Airtel 4G ni majanga, network inasuasua sana.
Simu yangu nimeishusha hadi 3G kwenye settings at least naweza peruzi.
Voda imebaki kuwa simu ya mezani na kwa ajili ya pesa though Internet yao nzuri ina kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Airtel wanahitaji msaada zaidi kutoka kwa wateja kuliko wateja wanavyowahitaji wao. Fikiria wewe unawapigia hawapokei wanakata, ila wao wakiwa na viofa uchwara wanakupigia.
 
Jamani mtandao wa airtel umekuwa tatizo kwa watumiaje hasa kwenye suala la huduma, yan sijui wanakwama wapi mtumiaji unakuta ninatizo na nahitachi msa wa customer care napi no 100 kama kawaida lakini unaskiliza tu maelezo ya computer na kuku bonyezesha mi namba baada ya apo wanakata simu sa sjui wanakuwa wanataka msaada niupate wapi? INABIDI WATUAMBIE SEHEMU YA KUPATA MSAADA
Sheikh haraka ya wapi? Andika vizuri
 
Back
Top Bottom