Airtel Switch ON

mojoki haueleweki,unasema all device wakat huo unamshauri mtu aweke lain yake kwenye simu nyingne ndo ajiunge.!

Acha ubabaishaji,sema device ambazo hazipo supported na hzo offers

-All smart phones
-Featured phones and
-Tablet

Ila yeye kashakwambia ana smartphone na inagoma, wewe ungemshauri nini labda...

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Last edited by a moderator:
All devices mkuu

In this world nothing is certain than Tax and Death.

We nawe umekuja kutupotosha tu hapa, we unasema all devices wakati inasupport baadhi ya smartphone tu, nasema ni baadhi ya smartphone tu kwa sababu si kila smartphone inakubali
 
Spidi hakuna kabisa!!!!! Niko moshi mjini hapa!!!! hata download ya picha tu issue....... Download speed 3MB/s
 
Dear All,

Kindly be informed that there is a new service called SWITCH ON the service consists of availability of unlimited bundles for both featured phones, Smart Phones and Tablets

·Switch ON is a device based Internet/Data bundle that enables customers to get unlimited package and enjoy Airtel Internet Experience

·This unlimited data bundles have daily, weekly and monthly options. User can choose a data pack relevant to the device and subscribe as per the validity option.

The main purpose is to enhance Airtel customer’s Experience through this competitive pricing strategy.

Users can easily subscribe to Data Bila Kikomo through the Options below:

·1. On direct USSD string *148*22#

·2. Via recharge vouchers *148*22*Voucher PIN# (To be communicated soon).View attachment 159844

LET’S SWITCH ON

Best Regards

In this world nothing is certain than Tax and Death.

·Switch ON is a device based Internet/Data bundle

Hebu fafanua hiyo sentesi hapo, kama english inasumbua tumia kiswahili tu
 
MSAADA.... Nimenunua kifurushi cha mwezi (*148*22# - Featured phone) lakini internet imegoma ku-connect kabisa. Nimeongea na customer care wakasema nizime na kuwasha na kujaribu simu nyingine (featured) bila mafanikio. Nimechoka kabisa yaani 7,000 ipotee bure! NAOMBA MSAADA WENU.
 
Unatumia simu gan mkuu, have you tried manual config.?

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
MSAADA.... Nimenunua kifurushi cha mwezi (*148*22# - Featured phone) lakini internet imegoma ku-connect kabisa. Nimeongea na customer care wakasema nizime na kuwasha na kujaribu simu nyingine (featured) bila mafanikio. Nimechoka kabisa yaani 7,000 ipotee bure! NAOMBA MSAADA WENU.

Kwa uelewa wangu "Featured Phone" hazisapoti "Internet" yani mfano simu kama...
#1 Siemens mayai (c52)
#2 Nokia 1100 na wenzake wa miaka hiyo
#3 Motorola za enzi zile kama T190...
#etc

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahsante wakuu. Nimeiweka ktk Nokia Asha 200 lakini lengo langu ni kuiweka ktk modem. Nitachomeka modem ktk PC na ku-connect.
 
Kwa uelewa wangu "Featured Phone" hazisapoti "Internet" yani mfano simu kama...
#1 Siemens mayai (c52)
#2 Nokia 1100 na wenzake wa miaka hiyo
#3 Motorola za enzi zile kama T190...
#etc

Sent from my iPhone using JamiiForums

umetumia neno zuri sana ambalo ni KWA UWELEWA WAKO TU.... LAKINI SIO UHALISIA
 
Lakini Hiyo "Tu..." Umeiongeza wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kwani ulikua unamaanisha ni kwa uelewa wako wewe na nani

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Back
Top Bottom