Airtel Switch ON

Airtel Switch ON

Mfano wa featured phone

Nokia E 71

Nokia E 62

Etc

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kitu voda bana hao wengine miyeyusho tu!

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Labda miyeyusho kwako mkuu, nina kifurushi changu cha wiki mpaka sasa nishashu GB zaidi ya 60

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kwa hiyo huwezi kutumia huduma hii kwenye modem? Hakuna aliyejaribu akaweza aje atujuze?
 
Mkuu mimi nimejaribu kufungua hotspot kwenye simu yangu ili kutumia kwa Wi-fi kwenye PC yangu but haikubali hata kubrowse pages...!!!!
 
Bila shaka unatumia kifurushi cha feauturea anzia na kifurushi cha smart phone kinatwanga "kotekote"

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kwani ulikua unamaanisha ni kwa uelewa wako wewe na nani

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Kawaida Katika quotation hutakiwi ubadilishe chochote na hiyo 'Tu' niliitumia sehemu aliyoni Quote??

*****

Alafu nikuulize, wewe kitu gani kinakufanya utofautishe featured phones na smart phones au kwako hazina tofauti??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zinatofauti mkuu thats why nimetofautisha😊

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Zinatofauti mkuu thats why nimetofautisha😊

In this world nothing is certain than Tax and Death.

Ila bado hujanijibu. Swali langu ni...

"Kitu gani kinakufanya utofautishe kwamba hizi ni featured phones na hizi ni smart phones??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Featured phones characteristics:

-limited in capability to surf internet, Only basic multimedia and internet capabilities, and other services offered by the user's wireless service provider.

- typically provide voice calling and text messaging functionality.

-their functionality and support for third-party software is still relatively limited in comparison to smartphones

Examples of featured phones in picture
ImageUploadedByJamiiForums1401343357.183124.jpg

Hope you know alot about smart phones

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kwa hiyo huwezi kutumia huduma hii kwenye modem? Hakuna aliyejaribu akaweza aje atujuze?

kuna kitu kinaitwa user agent kwenye browser. hiki ndio kinachotofautisha kuwa hii ni browser ya pc, hii ya iphone hii ya android na hii ya nokiA ASHA. sijawahi kutest ila unaweza kuanzia hapo, change user agent ifanane na kifurushi chako, mfano umenunua cha smartphone eka user agent iwe android browser halafu jaribu kama itakubali.

jinsi ya kuchange user agent google mwenyewe kutokana na browser yako
 
Well chief, i tried kutumia kwenye modem lakini natumia kifurushi cha smartphone na inapiga mzigo kama kawa

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Well chief, i tried kutumia kwenye modem lakini natumia kifurushi cha smartphone na inapiga mzigo kama kawa

In this world nothing is certain than Tax and Death.

speed yake ni vipi kaka?
 
Speed i gues it will depend eneo upo,

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
kuna kitu kinaitwa user agent kwenye browser. hiki ndio kinachotofautisha kuwa hii ni browser ya pc, hii ya iphone hii ya android na hii ya nokiA ASHA. sijawahi kutest ila unaweza kuanzia hapo, change user agent ifanane na kifurushi chako, mfano umenunua cha smartphone eka user agent iwe android browser halafu jaribu kama itakubali.

jinsi ya kuchange user agent google mwenyewe kutokana na browser yako

Inakubali bila hata kuchange, mm natumia sijabadili inapiga kazi kama kawa. Ila kifurushi usichukue kile cha future phone. Chukua cha smart au tablet ndiyo vina kasi sana
 
Samahan wakuu nimewafuatilia toka mwanzo lakn bado mi naona chenga tu coz sina hi mismart phon wala nini mi nina nokia obama tu....ila naomba kujua kama nikiweka lain kwenye smart alafu nikajiunga je nikichukua lain nikaweka kwenye modem yangu ya airtel nitaweza namimi kula hayo maswitch ON?????????:shock::shock::shock:
 
NDIO. Inawezekana, tested by mwl.rct
 
Hii huduma nayo magumashi tu mimi siku tatu hii inakata kata ikirudi mpaka kesho sio switch on ni switch off naenda voda hata kama speed inashuka sio ubabaishaji
 
Back
Top Bottom