Kumbe hii Huduma sio unlimited kama wanavyodai..kwa 900 wanatoa 1gb only. Sijui nikimbilie wapi
Na kwa 450 wanatoa 500mb tu.
Nadhani sote tunakosea terms and conditions za haka kauduma mmezisoma? Point ya kwanza kabisa inasema ths service ain't unlimited