Ndiyo Dar hiyo na ni Asprin huyo (kidding) Fuata ushauri aliokupa charminglady na vilevile kwa kuongeza akipiga pokea bila kuisikiliza mwache abwabwaje ila usimskize, at the end of the time ataona pesa yake inakwisha ataacha.
Shemejieeh.... NI Upepo tu Utapita.
charminglady nipe maelekezo ya kumblock au kumweka kwenye blacklist. bado mi ushamba wa balang'da haujanitoka hahaaaaa.duh,pole mamie. kama unaweza mblock ama umuweke kwenye black list!
Ndiyo Dar hiyo na ni Asprin huyo (kidding) Fuata ushauri aliokupa charminglady na vilevile kwa kuongeza akipiga pokea bila kuisikiliza mwache abwabwaje ila usimskize, at the end of the time ataona pesa yake inakwisha ataacha.
Shemejieeh.... NI Upepo tu Utapita.
charminglady nipe maelekezo ya kumblock au kumweka kwenye blacklist. bado mi ushamba wa balang'da haujanitoka hahaaaaa.
Fanya fasta nifanye jambo la maana sasahivi.
Pole marejesho pole kwa kupewa za Lusinde............... ndiyo wana wa adam hao

Ndugu zangu naombeni msaada wa haraka,na ushauri namna ya kudeal na huyu mtu mwenye hii namba..
Kanipigia kwenye namba yangu ya Voda asubuhi sana ,sauti ya mwanadada(ila ana claim kuwa ni mwanaume), akaniuliza kama mimi ni ndugu na somebody Abubakari,nikamwambia hapana ni wrong number.. Kaendelea kusumbua mara oh, namba ninayotumia mimi ni ya kwake alikuwa nayo tangu 1988.... (Uongo maana kipindi hiki hakukua na hii mitandao).
Ameendelea kusumbua hanipi kupumua, anabeep kila baada ya dakika 10... Nimejaribu tena kumpigia, kupokea tu anaanza lugha za kina LUSINDE...... ..
Kwa kweli inakera sana kuona kwamba watu wengine lugha za karaha/matusi ni sehemu ya maisha yao....
Kumpotezea ni simple ila huku kubeep kila baads ya dakika kadhaa ndiko kunakoleta udhia......