h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,530
- 3,315
Ndugu wana jf hawa airtel ni wazushi kwenye tangazo lao wanasema buy airtel modem for 30000 and get free internet for 6 months. Na vigezo vyao ni kwamba utumie si chini ya 6000 ili upate hiyo offer lakini kusema kweli hii offer ni hewa sasa huu si ubabaishaji.