Airtel money Tanzania Kiteto kuna tatizo gani mpaka mawakala hatupati kamisheni?

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Kwema ndugu?

Naomba kuwauliza airtelmoney hasa upande wa Kiteto-Manyara kuna shida gani?

Kwetu sisi mawakala tunakosa commission mteja akija kutoa na kuweka pesa. Sasa sijui mtatufidia vip?? Au ndio bora liende.
 
Back
Top Bottom