Airtel Modem msaada jamani

Airtel Modem msaada jamani

OMWENE

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Natumia modem ya airtel model MF 190 tatizo inakuwa inakata sana hadi niondoe na kuconnect upya tatizo ni nini? na nifanyanye nini ili kuondokana na tatizo hili maana bundle hupotea kama nadownload chochote pindi inapo disconnect.
 
Mkuu sidhani kama tatizo ni modem
Nahisi tatizo ni eneo ulilopo inawezekana signal ni majanga

Kama vipi itoe lock uweze kuitumia kwa mtandao mingine voda na tigo na zantel
Link ya ku unlock www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/322487-unlock-modem-mpya-za-airtel-zte-mf190.html
 
Natumia modem ya airtel model MF 190 tatizo inakuwa inakata sana hadi niondoe na kuconnect upya tatizo ni nini? na nifanyanye nini ili kuondokana na tatizo hili maana bundle hupotea kama nadownload chochote pindi inapo disconnect.
  • Ufumbuzi wa hili tatizo ni haka program "Reconnect"
  • Ingia kwenye hii link imejadili kwa kina hili tatizo na pia utaweza kudownload hiyo program
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/509947-msaada-jamani-modem-inaji-disconect-kila-mara.html[/URL]
Karibu
 
Back
Top Bottom