Airtel mnaniibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mnaniibia

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ndumbayeye, Aug 23, 2012.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Nyie airtel vp, nimerecharge 5000 usiku kabla sijapiga, hela asbh kwishnei nimetuma sms 30 tu kati ya 200 .....naweka tena 5000 now naongea sekunde chini ya 30 hela inaisha tena, customer care iko bize, mtu mwingine hapa the same problem.
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  asee mimi ni kwenye Data, jamaa wananiibia live live. Kuna cku zingine Mb400 nikiweka ku surf page 2 na vids 4 short yote kwishney afu sasa kizuri na2mia Linux Mint kwa hiyo mikorokoro ya apps ku2mia net bila uelewa wangu ni zero. Natafta app ya linux ya kumonitor data inavo2mika nipate proof kabsa
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  tatizo hili naliexperience wiki hii hasa.
   
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  airtel ni wasikivu leo wamenirudishia salio langu, shiliningi 8000
   
Loading...