Airtel mnaboa sasa!

Airtel mnaboa sasa!

Planner

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
348
Reaction score
149
Hapo awali mtandao wa airtel ulikua unafanya vizuri kwa internet na pia network kawaida huku mikoani,nawashauri mtoe taarifa kama kuna matengenezo mnafanya otherwise mjirekebishe kwani hatuwaelewi!!
 
Hasira zako hazifikii za kwangu. Natamani nitupilie mbali SIM card yao. Yaani wiki zinakatika bila hata inernet ya GPRS!! Yaani upuuzi mtupu.
 
Sioni tabu ..na ndio mtandao wangu
 
Hasira zako hazifikii za kwangu. Natamani nitupilie mbali SIM card yao. Yaani wiki zinakatika bila hata inernet ya GPRS!! Yaani upuuzi mtupu.

upo mkoa gani mkuu?maana hata huku dodoma imesumbua siku ya tatu leo lakini inakuwepo 3G dakika chache halafu inarudi edge
 
why mnatoa malalamiko humu? ni kama mke wako kakuudhi badala ya kumwambia unaenda bar kuongea. wafateni huko huko waliko wapigieni simu, watumieni habari kwa fb na kwenye tovuti zao ikiwezekana hata ofisini wafate. saa hizi hata hawajui kama wewe una tatizo feedback zitatoka wapi ili waimprove?
 
Airtel always ndio naonaga wako fast kwenye internet kwa hapa home. It's better wakima na account JamiiForums too coz huku kuna wadau wengi tu kama Facebook.

:focus:
Huku inafanya kazi fresh tu kama kawaida so siwezi sema kitu.
 
why mnatoa malalamiko humu? ni kama mke wako kakuudhi badala ya kumwambia unaenda bar kuongea. wafateni huko huko waliko wapigieni simu, watumieni habari kwa fb na kwenye tovuti zao ikiwezekana hata ofisini wafate. saa hizi hata hawajui kama wewe una tatizo feedback zitatoka wapi ili waimprove?

mkuu Airtel Kama huna kifurushi data haiwaki tofauti na Tigo na vodacom
 
sijui kama nakosea - signal zinakuwepo kama ni HSPDA? au GPRS ispokua ukitaka kufanya connection ya internet ndo mali haitoki hapo hadi uwe na kifurushi cha data.
wakati wanaanza hii OMG walikuiwa na speed - hivi sasa haieleweki kabisa!!
 
why mnatoa malalamiko humu? ni kama mke wako kakuudhi badala ya kumwambia unaenda bar kuongea. wafateni huko huko waliko wapigieni simu, watumieni habari kwa fb na kwenye tovuti zao ikiwezekana hata ofisini wafate. saa hizi hata hawajui kama wewe una tatizo feedback zitatoka wapi ili waimprove?
Tatizo wanatuwekea makarani na sio ma engineer. Unawaambia tatizo hawakupi majibu ya kuridhisha. Una wiki 3 hakuna internet wanakwambia vumilia itarudi tu. Huambiwi tatizo ni nini na kama linashughulikiwa au la. Mimi masuala ya internet siulizi tena kwa service provider nasubiri tu, labda kama sijui jinsi ya kununua vifurushi.
 
Halafu ni wezi wakubwa,yaani wanatushawishi kwa kutupa vifurushi vya muda wa maongezi kwa bei chee halafu wanatukata kwa dakika.mf;ukipatiwa dk 25 kupiga mitandao yote jua kuwa utaongea dk 15 tu kifurushi kinaisha.yaani wao ukiongea kwa sec 28 wanakata dk 1.
 
ulisoma terms and condition zikasema kuwa wanakata kwa sekunde?
 
yah hili ni kweli ila linachangiwa na wenyewe kuajiriana kindugu. ila vile vile kupost hapa haisaidii
 
ulisoma terms and condition zikasema kuwa wanakata kwa sekunde?
Ni sawa,inawezekana masharti yanasema wanakata kwa dk,lkn ww huoni kuwa wanatuibia wateja wao?mbona tigo wanauza kwa dk lkn makato ni kwa sec?
 
Hasira zako hazifikii za kwangu. Natamani nitupilie mbali SIM card yao. Yaani wiki zinakatika bila hata inernet ya GPRS!! Yaani upuuzi mtupu.

Kumbe tuko wengi nimenunua bundle unlimited lakini sijaweza kudownload cho chote, huwa inazunguka tu mpaka napata hasira na kutumia mtandao mwengine.
 
Internet ya Airtel hapa Mtwara ni majanga. spidi ni ya kobe zaidi ya konokono.
 
Back
Top Bottom