Airtel internet (OMG!) in majanga hasa wakati wa usiku. Kama hawawezi hiyo huduma ni bora waisitishe. Unatumia saa nzima kufungua page (kama una bahati).
Najua wako humu. Wajirekebishe!
kwa kweli nilijiamini sana na airtel sikutaka kununua line nyingine lakini sasa inatosha.awali nilidhani mnara ninaotumia ndio una tatizo lakini last week nilisafiri toka hapa tarime hadi dar.sasa huko dar ndio usiseme.airtel ni majanga speedmwendo wa kobe sijajua tatizo lao nini hasa.pale mwanz pia speed niliikuta kama kobe tu.nina mchakato wa kusajili tigo leo ili niomdokane na adha hii ya airtel
Airtel internet (OMG!) in majanga hasa wakati wa usiku. Kama hawawezi hiyo huduma ni bora waisitishe. Unatumia saa nzima kufungua page (kama una bahati).
Najua wako humu. Wajirekebishe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.