Umepotea njia wewe nendaga zako kwenye siasa, hii ndio teknolojia bana...........mimi nasemaga Vitoto vya tanzania vimezaliwaga viizi yaani hata ukikichelewesha kidogo utakuta kimejiibia kitovu. hebu ona hawa wote wakandia ccm wamepewa taarifa ya kijizi wanavyoipapatikia. yaani kweli 2500 kwa wiki inatushinda mpaka tutetemekee ujizi. nchi yooooooote tunatakiwa tufe ili wazaliwe waadilifu!