Airtel kwa hili mtapoteza wateja

Airtel kwa hili mtapoteza wateja

dada white, hapo kwenye blue unamaanisha 'unamfuata' au? Ni swali tu.

Unzinzi usikutoe akili ewe mwanadamu hadi kufikia busara na hekima yako kushindwa kutumika kwenye vitu vidogo.Anyway you hv made my day.
 
Last edited by a moderator:
Moja ya kitu ambacho kilikuwa kinavutia vijana kununua line za airtel na kuachana na dhana iliyozoeleka kuwa airtel ni mtandao wa watu walionazo tu hapa Tz ni ile bundle yenu ya MB400 kwa siku 30 ambayo ilikuwa ikiuzwa kwa sh 2500.Naona hii bundle imebadilika bei na kuwa ya ni Tsh3500 kwa siku 10 tu na unapewa MB500.Kwa mchanganuo ina maanisha mtu anatumia Tsh 350 kwa siku hii kitu ni gharama sana hasa kwa watu wenye kipato cha chini.Kwa kulinganisha ni kifurushi cha extrema park cha tigokinakuwa kina faida sana kwa maana unapata sms zaidi ya 100,dakika 15,Mb50 kwa masaa 24.Kwa kweli airtel mtatufukuza wengi kwa ongezeko hili.Kile kifurushi chenu kilikuwa kina induce watu wanunue line zenu. Mi mwenyewe mtanikosa kwa kweli

hawa airtel ni hapa kwetu wanatukamua lakini nchi Kama Nigeria wanawapa mpaka gb 2 sawa na elf 7 ya hapa unlimited lakini hapa nchini wanatukamua sana hata kwa habari ya kupiga simu yaani bado wako juu hasa kwenda mitandao mingine!
 
Wanatuchezea michezo!badala
wafikilie kufanya mb500 kwa sh 2500 wao ndo kwanza wanfanya mb500 kwa sh
2500 kwa siku 10.upuuzi mtupu.alafu mtandao yenyewe hauna
speed.

Yaani wanaudhi kweli,,,, hata mi wameniudhi sana! Wamekinai pesa. Nambieni nihamie mtandao gani? Nipe 7bu tafadhali!
 
.........Kweli Airtel wameshiba wateja na ninahisi wanataka kutupunguza.......................... pia sio wasikivu ..
 
mi nilichofanya ni kuchakachua modem yao na natumia tigo xtrem na zantel.
 
Back
Top Bottom