Naomba mnisaidie hesabu za yule ndooooorobo kaingia kwa Mangi
Mtiririko ulikuwa hivi
Body Spray=15000
PangaBoy(feni)=50000
Malapa=1000
Jumla=66000
According to Mangi
Jumlaaa = 65500.
Ushauri: Tangazo zuri sana ila liwe na uhalisia...
Tangazo lina zaidi ya mwezi.... muda wote ulikuwa unapiga mahesabu leo ndio umepata jibu?
BTW unajua kitu kinaitwa discount? Basi mangi na Eatel wamekupiga bao, hapo ndorobo kapewa discount juu kwa juu.

Asante kakangu kwa kuzibua hii ndorooooobo..........mbona ni kitu simple sana.......OOT.........mekumith :eyebrows:
Kujipangaje alikuwa anahisi labda discount aliyotoa ndorobo hajaridhikaTangazo nimesikia leo mkuu baada ya kupewa promo sana,
n kwa hii case Discount hakutoa thats why aliuliza "kwani wewe umejipangaje?" ili asikie offer yake ampe discount lkn kutokana na undooorobo kama wewe Mwana ana buku tu.
PANGA DUH...
Anasema ni kama vile 65500
Neno kama vile, amempa punguzo (discount) ya 500
Hesabu si mahali pako,
Ndorooooobo si afadhali hizo MB uingie MMU.
Na pa kwakunipata umepasahau mshiki ake??