DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Najua ni moja kati ya matangazo yenye mvuto sana....lile tangazo la NDOOOOROBOO...nimefatilia nikagundua hawakua makini katika utengenezaji wake....anapokuja jamaa anauliza body spray anaambiwa 15000=/...pangaboy 50000=/....mlapa 1000=/ ambapo baada ya hapo akiulizwa jumla mangi anasema 65500=/ ... wakati jumla kuu ilipaswa iwe 66000=/