Airtel Internet yenu Haieleweki

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
266
Airtel tunashangaa mmebadilika ghafla kwenye vifurushi vyenu hata bila taarifa yeyote ni kwamba zamani mlikua mnatupa mb 400 kwa sh 2500 kwa kuandika neno internet kwenda namba 15444 ila kuanzia sasa huduma hiyo siipati kabisa na nikituma hiyo meseji inanigomea sasa sijui kunani?bora mngetutaarifu wateja wenu kwamba huduma hii mmeifunga au la mmebadilisha namba kwaajili ya kutoa huduma hiyo au mmeifuta kabisa kwani kwangu hiyo ndiyo huduma ambayo niliipenda na ilikua cheap sana kwa sisi wateja wenu hivyo tunaomba ufafanuzi juu ya suala hilo naomba kuwasilisha!
 
inafanya kazi siju tatizo lako ni nini...mbona mimi nimeweka sasa hivi inakubali? unaandika internet unatuma 15444...
 
Mkuu inafanya kazi
Ila kama line unayotumia haijawahi kununua hicho kifurushi before basi unatakiwa kupiga *154*44# then ok
Utaletewa maelezo wewe fuata yale maelezo .ni rahisi sana
 
Airtel tunashangaa mmebadilika ghafla kwenye vifurushi vyenu hata bila taarifa yeyote ni kwamba zamani mlikua mnatupa mb 400 kwa sh 2500 kwa kuandika neno internet kwenda namba 15444 ila kuanzia sasa huduma hiyo siipati kabisa na nikituma hiyo meseji inanigomea sasa sijui kunani?bora mngetutaarifu wateja wenu kwamba huduma hii mmeifunga au la mmebadilisha namba kwaajili ya kutoa huduma hiyo au mmeifuta kabisa kwani kwangu hiyo ndiyo huduma ambayo niliipenda na ilikua cheap sana kwa sisi wateja wenu hivyo tunaomba ufafanuzi juu ya suala hilo naomba kuwasilisha!
wamekataaaaa nn
 
Aisee mimi nikiweka inanigomea kabisa natuma hilo neno inakataa
hata mimi nlishapatwa na tatizo kama lako, nilichofanya ni kununulia salio kwenye computer moja kwa moja
kwani kabla nilikuwa nanunulia kwenye cmu then nahamisha chip
 
Hivi bado mnalipia Internet mpaka leo?
Ok hiyo huduma bado ipo, toa line yako kwenye modem weka kwenye simu then recharge halafu andika hilo neno Internet kwenda namba 15444 na utajipatia mb400 papo hapo, halafu ndio urudishe line kwenye modem uanze kubofya. Na bwana yesu akubaliki.
 
hiyo huduma haitolewi tena kwa watumiaji wapya, Kama uliwahi kuitumia kabla ya January mwaka huu basi ukijiunga utaunganishwa ila kama ni mtumiaji mpya bofya *154*44# kupata huduma nyingine za vifurushi, So jibu hapo ni kwamba hutaweza kupata huduma hiyo kwa sababu namba yako haipo katika namba zilizoruhusiwa kupata huduma hiyo (Naongea kama Mhusika)
 
Na kwa sababu mmeiondoa na kwa kuwa mmesema sisi tunaoendelea kupata tupo kwa mkopo ambao unakaribia kuisha, basi punde tu mtakapositisha nitahamia Voda.
 
hiyo huduma haitolewi tena kwa watumiaji wapya, Kama uliwahi kuitumia kabla ya January mwaka huu basi ukijiunga utaunganishwa ila kama ni mtumiaji mpya bofya *154*44# kupata huduma nyingine za vifurushi, So jibu hapo ni kwamba hutaweza kupata huduma hiyo kwa sababu namba yako haipo katika namba zilizoruhusiwa kupata huduma hiyo (Naongea kama Mhusika)
MImi nimeishia kukodolea mimacho hicho kifaa-avatar. Si mchezo. hebu nipelekee namba yake mkuu
 
Haya unasema wewe....mimi naangalia kwenye nafuu ya bei. Karibu mitandao yote speed na coverage inafanana tu hazipo 100% uhakika

Bei???? mie sizungumzii bei pekee nazungumzia uimara wa upatikanaji wa mtandao, speed katika kufunguka na ku download, na bei karibu mitandao yote inafanana tu!
Mie nimetumia voda sana. Wanafurahisha kwa kale kazawadi ka kukupa utumie bure kama umeishiwa bundle hadi mwisho wa mwezi lakini service nyingine huwezi kulinganisha na airtel. Kwangu wao ni namba mbili kwa airtel bhana!
 
Haya unasema wewe....mimi naangalia kwenye nafuu ya bei. Karibu mitandao yote speed na coverage inafanana tu hazipo 100% uhakika

Ni kweli. Airtel tunafuata hiyo 400mb tu. Otherwise data service ni very poor.
Nyakati ninazotumia Voda huwa poa, ile bei zao hovyo.
Tigo ndio jinamizi. sijui nani aliwadanganya kuwa nao wanaweza kutoa internet!
 
acha kupoteza wenzako halafu penda kuwa mdadisi umejaribu ofa ngapi za tigo, zantel na kama huna chombo chenye 3g hapo utalalamika kila siku,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom