Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,007
Hawa jamaa wametupeleka kwenye gharama za simu tunazosisikia huko kwenye mataifa jirani, gharama za juu za hovyo kabisa.
Hiki ni kiburi, ni aina ya ubepari ndani ya nchi yetu utokanao na kutokukemewa.
Ni vurugu tupu, mitandao haidhibitiwi kutwa kuwatumia wateja meseji za kibiashara pasipo ridhas ya mteja, halafu bei za vifurushi wakilala wakiamka wanabadiri bei, hii sio sawa kisheria.
Kisheria, mteja anapojiunga na mtandao wa kampuni fulani, watu anaowasiliana nao watamtambua kwa namba hiyo, huwezi kuharibu huduma ama kuzidisha gharama halafu mteja ahame tena aende mtandao mwingine, hizo namba za simu sio za watoto wa shule tu ni watu wazima wenye kuzitumia kwa kazi na biashara, airtel waache upumbavu wao, wanasheria mpo wapi, nchi za watu makampuni haya huwa na adabu huko maana anaibuka mjanja anaejua sheria anawashtaki mahakama ya biashara wanampa mtaji wa bure, huku kwetu yanafanya upumbavu wao yanavyojisikia, mashetani kabisa hayo!