Airtel internet vipi Mwanza & Geita?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wadau toka juzi mtandao wa airtel unasumbua hasa maeneo ya mz na Geita hasa kwenye modem zinaconnet ila net inakuwa chini sana .kuna mwenye kujua tatizo ni nini?
 
Yeah ni kweli mkuu, mimi nimenotice hili tatizo tokea alhamisi na jana ndio limenikwamisha kabisa kufanya kazi zangu. Leo nimepanga kuamkia Vodashop kudaka modem ya voda, ingawa bei yao ya internet ni mkasi
 
Yeah ni kweli mkuu,
mimi nimenotice hili tatizo tokea alhamisi na jana ndio limenikwamisha
kabisa kufanya kazi zangu. Leo nimepanga kuamkia Vodashop kudaka modem
ya voda, ingawa bei yao ya internet ni mkasi

yaani modem inaconnect lakini downloading speed na uploading speed zote zinasoma 00.00kb/s hata mi inabidi nikaidake voda
 
Back
Top Bottom