Airtel Internet speed

Airtel Internet speed

samahan sijakupata hapo kwenye APN mkuu...nicreate vp hiyo kitu!!!!
mi nko DSM net inanisumbua sana!!!
  1. Nenda settings
  2. tap wireless and networks
  3. tap mobile networks
  4. tap Acess Name Point (APN)
  5. kwenye name weka airtel, APN weka internet, pengine pote paache kama palivyo ila kwenye Apn type weka internet&mms then save it, itarudi wenye selection ya APNs highllight apn ulyoitengeneza!
 
nikajua ni mimi tu mwenye tatizo hilo,wanasema hakatwi mtu hapa kumbe wao wenyew wanakata kidizaini,hiyo speed yao huwezi hata ingilia youtube labda walilenga kwa ajili ya kuingilia jf ana fb
 
Back
Top Bottom