Airtel Internet speed

Airtel Internet speed

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,017
Reaction score
1,154
Week 2 zilizopita nilihamia Airtel for 2 reasons
1. Hakatwi mtu hapa
2. 3.75G internet speed
Tangu nianze kutumia internet ninachokipata is simply a disappointment. Unaweza download 10mb za android app for 20min, youtube ndio haiendi kabisa leo nimejaribu kuplay audio streeming eti inakwama kwama mpaka uisubilie........! This is a joke

Sim ninayotumia ni duo na ni 3g niki switch kwenda mitandao mingine speed kama kawaida. Niko maeneo ambayo network reception is pretty excellent
Is this happening to you guys
Kuna settings natakiwa kufanya may be
Au ni danganya toto, seems like iko restricted ki design
 
Airtel ni dissapoint kubwa sana speed ni ndogo sana 45 Kbps mpaka 90 Kbps ikijitahidi 100 Kbps kwenye PC.Wanaudhi sana nilipiga simu Huduma kwa Wateja wakanipoza eti wametuma settings kwenye line yangu lakini ni bure hakuna kitu.Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimejiunga na 1.5 GB niliiacha PC ili nidownload vitu vingi kwenye Torrent program naamka nakuta hakuna chochote.Ni mbaya sana kwani usiku traffic ni ndogo na speed huwa kali .AIRTEL KAMA KAZI IMEWASHINDA WAACHIENI ZANTEL HII NI AIBU KUBWA SANA NI KARIBU WIKI 2 WATEJA TUNALALAMIKA SPEED MBOVU YA INTERNET YENU.
 
Labda bundle unayoweka ni ile ndogo, speed haziko juu..try using bundles of over 1GB and see if it changes

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Airtel ni dissapoint kubwa sana speed ni ndogo sana 45 Kbps mpaka 90 Kbps ikijitahidi 100 Kbps kwenye PC.Wanaudhi sana nilipiga simu Huduma kwa Wateja wakanipoza eti wametuma settings kwenye line yangu lakini ni bure hakuna kitu.Usiku wa kuamkia leo nikiwa nimejiunga na 1.5 GB niliiacha PC ili nidownload vitu vingi kwenye Torrent program naamka nakuta hakuna chochote.Ni mbaya sana kwani usiku traffic ni ndogo na speed huwa kali .AIRTEL KAMA KAZI IMEWASHINDA WAACHIENI ZANTEL HII NI AIBU KUBWA SANA NI KARIBU WIKI 2 WATEJA TUNALALAMIKA SPEED MBOVU YA INTERNET YENU.

Sijajua mnapata tatizo gani..maana nikiwa na download torrents, napata 200 kb/s mpaka 500 kb/s, that is during the day.

Usiku ndo usiseme, mpaka 850kb/s, ila kuna settings zakubalisha kwenye u-torrent ku-maximise speed

Aibu kubwa....! Kama hawawezi kutoa huduma watuambie! Customer care hawana msaada wowote nimepiga simu nikawaambia siwezi kudowload wala ku stream hata audio wakaniacha nasikiliza mziki yao!
3.75 G gani hhiyo isiyotofautiana na GPRS....!
Au Hizo bundle zenu ni danganya toto...!
 
Sijajua mnapata tatizo gani..maana nikiwa na download torrents, napata 200 kb/s mpaka 500 kb/s, that is during the day.

Usiku ndo usiseme, mpaka 850kb/s, ila kuna settings zakubalisha kwenye u-torrent ku-maximise speed

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Uko wapi ww unayepata speed hiyo??
 
huku vijijini ndiyo usiseme hatununui hizo yatosha kabisa,sababu ukinunua hiyo yenye 125mb hata ufanye nini hutatumia zaidi ya 20mb yaani kwa design fulani lazima ukatwe tu!!!!na jamaa wa tcra wako kimya tu!!!!haya matatizo yamelalamikiwa kwa muda mrefu na mamlaka husika haichukui hatua yoyote ushauri kuna haja ya wizara mama kufanya mabadiliko kwenye safu nzima ya uongozi wa tcra wamekuwepo hapo kwa muda mrefu na wajisahau!!!!
 
This was this morning, kukiwa na high traffic

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hivi bado unaendelea kuhangaika na ziko bundle hadi leo mi nilishasahau mambo ya bundle natumia internet with unlimited speed hadi 2mb/s just for 10000/ per month mtafute Mwl R T C au njunwa wa mavoko kwenye jukwaa watakupa details .....au google Pd proxy or tunnel guru
 
Kwani nani anajali? Si umeshalipia na wameshapata chao? kama wewe hupati ni tatizo lako! Sisi tumeshapokea chetu bwana, tunakula kiulainiii wakati wewe unahangaika huko. Majanga!!!!! Utalalamika kwa nani nchi hii usikilizwe? Na wakati mwingine customer care wanakujibu wanavyotaka...umelipia, huduma hupati majibu mabovu, wanakupigia miziki yao mpaka uwapate....umekoma!
 
  • Tatizo: Ukinunua kifurushi - unaingia kwenye kifungo cha speed ndogo. Hasa hasa kama umenunua kifurushi cha 'Time based' ndio balaa zaidi.
​
 
ukweli watanisamehe, sioni value ya hela yangu! sirudii tena kununua bundle ya airtel maana naona natapeliwa.
ninachokipata sichokilichokuwa kusudio langu kama navyotumia mitandao mingine,

na kwakuwa hawasikii basi taratibu
 
Kweli kabisa mimi ni mtumiaji wa airtel siku nyingi na line yangu ina nembo ya Zain...ila airtel imeharibika baada ya kununuliwa na hawa wahindi (Airtel) kama ujuavyo wahindi wanatuonaga sisi kama mafala waTz ukiongeza na wizi wao sasa ndio usiseme.. zama huu mtandao ulikuwa na kasi ya internet nakumbuka walikua na huduma ya 200 unlimited na unapata net ya kasi ajabu ila siku hizi wizi mtupu..
 
Mi niko tigo,full speed na download moves za kila aina,chezea kabang wewe......
 
MBONA ME KWANGU INA SPEED HADI RAHA NASHUSHA MOVIE TUUU.TUMIENI PD PROXY KWA MSAADA ZAIDI MUONE Mwl.RCT
 
Back
Top Bottom