Airtel internet service...(bundle recharge)..!!!

tmg

Member
Jan 17, 2011
22
4
salamu wakuu.....!! najua wadau wote mnapatikana hapa>>> airtel kama inawezeka...kwa sisi watumia wakubwa na internet....twaomba kama mtu ukitaka kuongeza bundle ....uweze sio mpk uliweka imalizike....then kama kuna credit ktk line na inatumika bila kujua..nawakilisha >!!
 
Ebwana eeh si uende kwenye website yao au page yao ya facebook ndo watakuskia vizuri
 
kwa sh. 2500 watakupa 400MB kwa mwezi
Andika INTERNET tuma kwenda 15444

kwa sh 500 watakupa 20MB kwa siku moja
Andika Data siku tuma kwenda 15444 kwenye SMS menu
 
kwa sh. 2500 watakupa 400MB kwa mwezi
Andika INTERNET tuma kwenda 15444

kwa sh 500 watakupa 20MB kwa siku moja
Andika Data siku tuma kwenda 15444 kwenye SMS menu

imebadilishwa hiyo process sasa hivi ni mpaka uandike hii *154*44# ndio utafanikiwa kiurahisi..
 
Naomba nijulishe gharama ya hizi bundle 250 MB, 500 MB, 1 GB, 2 GB, 5 GB, 15 GB, 30 GB, WEEK and MONTH na unatumia kwa muda gani. Ile njia ya wali imekataa ndo wakaniletea hizi bundle sasa sijui gharama zinaendaje?
 
Back
Top Bottom