AIRTEL hovyo!

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Kwanza sijui ni kwa nini wanadhamini JF mimi nawaomba muwatoi hapo juu maana hawaact kama great thinkers. wameintroduce internet speed ya 3.75G halafu wanakwambia piga *154*44# ili kujiunga. ukipiga hiyo namba si kwa simu wala modem vyote vinakwambia haipo. Hivi hawa jamaa hawajui wanafanya nini? na bado nina hasira nao walivyonila hela zangu bila kunirudishia siku wamepandisha bei ya internet kiholela!kama hawawezi si wamuuzie manji? maana nasikia anataka kuanzisha kampuni ya simu sijui kwa kutaka kufanya ufisadi gani!
 
Itakuwa kuna sehemu unakosea,maana mi natumia namba hiyo na kuchagua kifurushi na wala hamna tatizo lolote.
 
mkuu mbona ukipiga namba hiyo unachagua kifurushi cha intaneti 400mb tatizo nini mimi naona wapo poa tu.
 
Hawako poa kwa kweli, huduma zao ni mbovu na customer care yao siyo nzuri. Kuna wadada wanapoz za kishamba kweli. Wanamajibu ya kifupi na yasiyo na utoshelezi kwa mteja. Wavivu sana hata kuwaelewesha wateja kwa umakini.
 
Mtu mwenyewe hujui unachokiomba utasaidiwaje?Eti speed ya internet inapatikana kwa kupiga namba hiyo mi naona mashudu tu umeandika hapa
 
Duh! Hata mimi wamenichosha kweli sasa ...yaani kuanzia last week ninasota kurudisha namba yangu ya airtel bila mafanikio kuanzia morocco,jmall na mcity kote eti no network .....nawauliza sasa ninafanyaje na ile ndio businessline yangu, ata least wanipe hata moyo.......wanajibu utumbo .....pambaf kabisa!!!!sasa nimekwama ,i am looking for the way out!
 
Itakuwa kuna sehemu unakosea,maana mi natumia namba hiyo na kuchagua kifurushi na wala hamna tatizo lolote.
sasa kama namba wewe umeona iko sawa inamaana nakosea kubonyeza kitufe cha kijani? au nabonyeza wapi?
 
Back
Top Bottom