Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,661
Ndio Maana watu wengi hawatumiii iyo mitandaooo ya AirtelWahindi hawanyimani dili kabsa
Airtel haiko Tanzania tu, badiliko linalofanyika hapa linahusu pia kwingineko kama lilivyo tangazo la coca cola na yote wana superimpose au ambatanisha muigizo wa midomo kama ilivyo kwenye tamthilia za luninga ambapo mtazamaji unachagua sauti inaoyokufaa.Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza haya matangazo au hata zaidi ya haya.Ukiona lile la kutangaza vocha ya Tshs 200 utaona kwamba midomo ya watu haiendani na sauti zinazotoka.Na pia hili jipya la kwenye mgahawa utaona hiyo kitu pia.Nawaomba Airtel mjifikirie!
Kwahiyo ile mia mbili ya Tz na nchi nyingine wanatumia?Airtel haiko Tanzania tu, badiliko linalofanyika hapa linahusu pia kwingineko kama lilivyo tangazo la coca cola na yote wana superimpose au ambatanisha muigizo wa midomo kama ilivyo kwenye tamthilia za luninga ambapo mtazamaji unachagua sauti inaoyokufaa.
Wataka Wafanyaje Kaka Maana Sio Kwa Povu HiliNimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza haya matangazo au hata zaidi ya haya.Ukiona lile la kutangaza vocha ya Tshs 200 utaona kwamba midomo ya watu haiendani na sauti zinazotoka.Na pia hili jipya la kwenye mgahawa utaona hiyo kitu pia.Nawaomba Airtel mjifikirie!
WaTz wazalendo wenzangu!Wewe na nani hamkubaliani na airtell??
Watumie kampuni za Tz kutengeneza matangazo yao!Wataka Wafanyaje Kaka Maana Sio Kwa Povu Hili
Sema Walishawatumia kina mzee majuto na sharo zamani,Pia waliwatumia Vanessa,Barnaba na Ney wamitego pia!Nadhani kuna kitu waliona may be maana hawajawatumia tenaWatumie kampuni za Tz kutengeneza matangazo yao!
Naongelea kampuni za kutengeneza matangazo.....sio actors/actressesSema Walishawatumia kina mzee majuto na sharo zamani,Pia waliwatumia Vanessa,Barnaba na Ney wamitego pia!Nadhani kuna kitu waliona may be maana hawajawatumia tena