Airtel bomu--tena haswaa....

Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..

hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details

AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU

Nadhani pengine tatizo lipo sehemu uliyopo labda network sio nzuri mimi nimekuwa na tatizo kwenye Blackberry Service lakini sasa hivi ipo faster ile mbaya ukilinganisha na mitandao mingine inayotoa huduma ya Blackberry Internet Service BIS.
 
Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..

hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details

AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU

Siku nzima jana nilikuwa natumia airtel kwa internet, ya simu, kwa speed inayokaribia 1mbps, kwani wewe uko wapi?
 
Kaka yaani tatizo dogo kama hilo unalianzishia thread eti unatishia kuhama? Hujatuambia ulijaribu kutafuta assistance wakashindwa kukusaidia! Tatizo laweza kuwa wameku-disconnect kutokana na kutolipa bill,eneo ulilopo halina Network etc. Kila mtu akipata tatizo kwenye mtandao aanzishe thread si itakuwa balaa... TAFAKARI CHUKUA HATUA!
 
Mkuu taska, nilichofanya ndiyo hatua niliyochukua baada ya kutafakari au uadhani tafakari chukua hatua maana yake nini? i just did that sir

Hivi utawacontact vipi wakti simu iko silent kabisa for over 12 hours na nikilwa jimboni kwa mnyika sijavuka hata kibo? the phone went silent, emails nehi che na mtandao kwish nehi barrchee

I did what i thought it was good na wala sitishii kuhama aisee, ilili iweje, hivi usawa huuu mtu anatishia kuhama line? si anakwenda kwa provider anachukua like anasajili anahamisha namba na kuanza mbele... au ??

BTW, i thought of PM-ing you jana jioni maana kuna posts fulani nilikua nasoma nikahisi uko coversant sana na mambo ya provider wa mobile servcies, lakini ndo hivyo tena my hands were tied
 
Kaka,ningekuwa wewe... Ningefanya yafuatayo;

1.Ningezima simu kwa muda kisha ningewasha,bado mtandao hamna!
2.Ninge-check na mtu aliye jirani yangu mwenye Airtel,kama yupo hewani ama hayupo!
3. Kama hana Airtel ningechukua line yangu ya Airtel kisha nikaweka katika simu yake ni-check kama mtandao upo ama haupo?
4.Mtandao upo ningepiga namba 100... Kwa kuwa umefafanua wewe ni mmoja wa wa wateja wa kulipa mwisho wa mwezi unarushwa kwenye Queue (Unawapita wateja wooote waliopo kwenye foleni na utapokelewa na wahudumu wa huduma kwa wateja mapema zaidi!!!) ambao wangekupa ushauri muafaka... Nawasilisha!!!
 
Mimi kitu chochote kinacholetwa na wahindi huku Afrika nina mashaka nacho sana!! Hii airtele sina imani nayo kabisa!!

Huwaamini wahindi kabisa?ktk familia yako au ndg au jamaa au rafiki hamna ambae kashapatiwa matibabu India?
Acheni stereotype izi ninyi watu!
Wahindi wapo makini sana!
Watu wanapenda sana dharau India,mngejua hawa watu wapo mbali sana!
Kaulize kampuni ya microsoft majority ya wafanyakazi ni watu tokea wapi?
Cku njema
 
Dah... tangu jana hakuna kinachotoka wala kuingia, si email, si web browser wala kupiga simu..

hakuna chochote zaidi ya wizi tu aisee, ngoja tuone watatuambia nini tutakapoomba print outs za call details

AIRTEL NI AIR TELE YANI HEWA TUPU, HAKUNA KITU, AU HATA TUITE UTUPU
" Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" kumbuka hii kitu ilizinduliwa na Kikwete Bomu na ni ya wahindi mmesahau ya TRL na bado
 
shemeji...vipi tukiendelea kutumia ile ile yetu.....au nayo inazingua
 
kwa gharama kiivyo na ushindani wa kampuni zilizopo watachemsha kwa kupoteza wateja ghafla watanzania wengi tunamudu penye nafuu
 
Zantel, ndio hivyo kabisa siku hizi... Zantel ni ghali sana kwenye upande wa kupiga na kupokea... kwenye Internet wamekuwa Slow sana siku za hivi karibuni.
from zantel to other operators 1.99Tzs
from zantel to zantel 1.00Tzs (per second billind), the cheapest ever
 
Mkuu taska, nilichofanya ndiyo hatua niliyochukua baada ya kutafakari au uadhani tafakari chukua hatua maana yake nini? i just did that sir

Hivi utawacontact vipi wakti simu iko silent kabisa for over 12 hours na nikilwa jimboni kwa mnyika sijavuka hata kibo? the phone went silent, emails nehi che na mtandao kwish nehi barrchee

I did what i thought it was good na wala sitishii kuhama aisee, ilili iweje, hivi usawa huuu mtu anatishia kuhama line? si anakwenda kwa provider anachukua like anasajili anahamisha namba na kuanza mbele... au ??

BTW, i thought of PM-ing you jana jioni maana kuna posts fulani nilikua nasoma nikahisi uko coversant sana na mambo ya provider wa mobile servcies, lakini ndo hivyo tena my hands were tied

Mhindi kapewa runguu....
 
Back
Top Bottom