airtel and ttcl moderm!

airtel and ttcl moderm!

SAMORE TOURE

Senior Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
116
Reaction score
9
natumia window 8, dell D620... nikitumia moderm ya tigo na voda zinafanya kazi. lakini moderm ya airtel na ttcl zinagoma! Msaada tafadhari..tatzo laweza kua nn? Na solution ni nn?
 
zinasumbua Vipi?? na Zinakataa Kivipi!! taja Na Aina Za Modems
 
zinasumbua Vipi?? na Zinakataa Kivipi!! taja Na Aina Za Modems

Ni airtel na ttcl moderm....Ukizichomeka kwenye pc zina soma kabisa full network! Lakn unapo click connect inatoa report hi.. A connection to the remote computer could not be established.you might need to change the network setting for this connection..ila nikitumia kwenye pc nyingne ambayo ina window 7 inakubali
 
Nimeuliza aina ys modem nikimaanisha kampuni sio provider... Aina za modem nyng tz ni huawei zte na alcatel
 
Jaribu kuchange dashboard tumia join air au metfone... Au ikiwezekana conectia pale chini kwenye Alama Ya network
 
Badilisha windows mkuu hiyo 8 program nyingi bado zinagoma.
 
Back
Top Bottom