Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,739
Mmh hata hili nalo unanuna?hizi ndege ni bomu la hasara na ufisadi litakalopasuka kwa mshindo mkuu
ni swala la muda tu
Mmh hata hili nalo unanuna?hizi ndege ni bomu la hasara na ufisadi litakalopasuka kwa mshindo mkuu
ni swala la muda tu
Lumumba akili zao wanazijua wenyewe!Haya Lumumba wote simameniii piga makofi wote na kateni viunooox 2
😛😛😛😛😛Wajitahidi kutengeneza haraka Taifa Stars iende nayo Cameron.
Hehehehe😛😛😛😛😛
#AirTanzania first #Airbus #A220-300 gaining shape
View attachment 942029
PICTURES OF NEW AIRCRAFT BEGIN TO EMERGE SHOWING ADVANCED STATE OF ASSEMBLY
(Posted 19th November 2018)
View attachment 942032
(Picture courtesy of Fliegerfaust.com)
The delivery of Air Tanzania’s first Airbus A220-300, previously known as the Bombardier CSeries 300, is now definitely coming closer to reality, after pictures emerged showing the paintwork has now been completed.
The aircraft will be delivered in an all economy cabin layout – at least that was the initial order – and will be the first such plane then registered and flying in Africa.
View attachment 942043
Hiyo itakua "another national economic disaster." ...mpaka sasa dreamliner ina paa kwenye nchi ya Dar mwz na Arusha....
utamufahamu tu kijana wa ufipa pole sana
Kama zinavyowakereketa kwenye kupanda thamani kwa shilingi yetu.
Kama zinavyowakereketa kwenye kupanda thamani kwa shilingi yetu.
Watu mnajua kuwazima wenye virangaPresha kwa sana tu. Tena ukizingatia kuwa hii ruti zake zitakuwa ni kigoma-Songea.
Wajitahidi kutengeneza haraka Taifa Stars iende nayo Cameron.
yaani hapo roho zinawakereketa mpaka basi
IndeedKampuni za Boeing,Airbus zikiamua kuanza kusukia ndege Africa basi chaguo lao kwanza itakuwa Tanzania
Hivi mwana Chatto, Tandahimba,Uvinza,Tukuyu,wanajua maana ya airbus!? Bora ndege za kati,kutawanya watalii na WaTz. Kubwa hatuwezi shinda na na mashirika ya nje kama Emirates, tungeingia nao ubia at free tupokee wageni,hata kuwachangia bure korosho pekee on aboard.
Kama zinavyowakereketa kwenye kupanda thamani kwa shilingi yetu.
Sio TBC1.Cameron wataisikia kupitia dstv