AirTanzania first Airbus A220-300 gaining shape

AirTanzania first Airbus A220-300 gaining shape

Hivi mwana Chatto, Tandahimba,Uvinza,Tukuyu,wanajua maana ya airbus!? Bora ndege za kati,kutawanya watalii na WaTz. Kubwa hatuwezi shinda na na mashirika ya nje kama Emirates, tungeingia nao ubia at free tupokee wageni,hata kuwachangia bure korosho pekee on aboard.
Kwani tunashindana
 
Hii habari mbaya sana kwa wachumia tumbo. Watapita kuusoma huu uzi kisha watasunya na kusepa.
 
Ungetuonyesha yote kabisa ingekuwa poa zaidi.
Hii hapa... Screenshot_2018-11-22 Twitter.png
Screenshot_2018-11-22 Twitter.png
 
Dreamliner ina kipind chake cha kufanya safar za ndani. Baada ya hapo itaanza safar za nje
Hiyo itakua "another national economic disaster." ...mpaka sasa dreamliner ina paa kwenye nchi ya Dar mwz na Arusha....
 
Tukiingia ubia itakwamisha maendeleo ya shirika. Hao unao wasema walianza miaka mingi.. hawakuanza juz. Emirates walianza na ndege mbili . So ni step by step.
Hivi mwana Chatto, Tandahimba,Uvinza,Tukuyu,wanajua maana ya airbus!? Bora ndege za kati,kutawanya watalii na WaTz. Kubwa hatuwezi shinda na na mashirika ya nje kama Emirates, tungeingia nao ubia at free tupokee wageni,hata kuwachangia bure korosho pekee on aboard.
 
Karibu Air Tanzania, Karibu The Wing of Kilimanjaro. #DODOMA, Hapa Kazi Tu.
 
January 2019 mama wa ndege za ATCL mheshimiwa dreamliner anaanza safari za China mara tatu kwa wiki.
Mawakala wa shetani jiandaeni kuhara.
Hayo mandege ni mzigo tu!!Kenya route ya US imewashinda alafu nyinyi ndio mnakurupuka kuanzisha route bila hata kufanya utafiti!!
 
Kaka lakin hizi ndege order yake si ya juzi ni ya sikunyingi kidogo. Ndio wan deliver mwez ujao. Anyway nadhan serikal inashindwa kujua vipao mbele .. kipi kitangulia kwanza.
Uchumi umekufa unaleta ndege za mapambo za kazi gani?
 
Nakubaliana na unachosema kaka. Laki sidhan kama atcl itakuwa na us route ..maana bado ni mapema sana. Halaf shirika ni changa mno kwa sasa. Sidhan kama watakuwa nayo
Hayo mandege ni mzigo tu!!Kenya route ya US imewashinda alafu nyinyi ndio mnakurupuka kuanzisha route bila hata kufanya utafiti!!
 
Hayo mandege ni mzigo tu!!Kenya route ya US imewashinda alafu nyinyi ndio mnakurupuka kuanzisha route bila hata kufanya utafiti!!
Wale ni Kenya na sisi ni Tanzania huwezi tofautisha potentiality. Kwa vivutio Tanzania hana mpinzani hapa Africa halafu wewe wataka tusifanye yanayotuhusu kwa kuangalia alivyofeli jirani, huo ndo upuuzi kila mtu anastratejiki zake katika biziness mkuu.

VIVA JPM
VIVA TANZANIA.
 
#AirTanzania first #Airbus #A220-300 gaining shape
View attachment 942029

PICTURES OF NEW AIRCRAFT BEGIN TO EMERGE SHOWING ADVANCED STATE OF ASSEMBLY

(Posted 19th November 2018)
View attachment 942032

(Picture courtesy of Fliegerfaust.com)

The delivery of Air Tanzania’s first Airbus A220-300, previously known as the Bombardier CSeries 300, is now definitely coming closer to reality, after pictures emerged showing the paintwork has now been completed.
The aircraft will be delivered in an all economy cabin layout – at least that was the initial order – and will be the first such plane then registered and flying in Africa.
View attachment 942043
"Air Tanzania’s first Airbus A220-300, previously known as the Bombardier CSeries 300"
FAFANUA HII SEHEMU PLEAZE
 
Back
Top Bottom