"Air Tanzania’s first Airbus A220-300, previously known as the Bombardier CSeries 300"
FAFANUA HII SEHEMU PLEAZE
Nenda kwenye twitter official account ya twitter ya Airbus utaionaUngetuonyesha yote kabisa ingekuwa poa zaidi.
Mtanyooka tu na vimaneno vyenu! Eti economic disaster!!! How? Kama Fastjet zipo mbili na zinafanya kazi hapa hapa na wanatoboa iweje ATCL washindwe na si watoa support rupo? Mbona Dreamliner tunalidandia kila siku na linajaa? Acheni hizo! Hongera my President kwa kututoa kimasomaso.Hiyo itakua "another national economic disaster." ...mpaka sasa dreamliner ina paa kwenye nchi ya Dar mwz na Arusha....
Dude hilo hapo. Shikamoo JPM.Hiyo itakua "another national economic disaster." ...mpaka sasa dreamliner ina paa kwenye nchi ya Dar mwz na Arusha....
Safi sana. Tanzania Oyeeee! Magufuli Oyeeee! ATCL Oyeeeee!
Sawa Mkuu.Nenda kwenye twitter official account ya twitter ya Airbus utaiona