SA wanapata faida kubwa sana kwenye hii route kuliko sisi na wanaitegemea mno ila nina taarifa kuwa wapo Watanzania wanapata hela kupitia SA Airways ndio wanakwamisha Air Tanzania kwenda SA.

Uhamiaji pale Oliver Tambo wanawasumbua sana Watanzania ingawaje hawasemi mpaka wengine wanarudishwa hawataki mtu aliezidisha siku 90 kuishi ndani ya SA ukitumia ndege utarudishwa ila kwa Bus kwa kupitia Botswana hawana huo usumbufu..